Orodha ya nadharia zenye utata duniani (conspiracies)

Orodha ya nadharia zenye utata duniani (conspiracies)

Yap naungana nae hajamaanisha haipo nafikiri anamaanisha ni man made yaani sio kama tulivokaririshwa
mwanadamu hawezi kuengeneza ugonjwa virusi nikimaanisha kiumbe hai..ukimwi ulikiwepo ila ulicross species badala ya kuwa kwa viumbe fulani vikajikuta mfumo wa seli zetu zinaweza kusupport maisha yao kwahiyo ukafanya colonization kwetu..na kuna magonjwa kibao ambayo yapo kwenye viumbe ambao hauwajui ambayo yanaweza kuwa mabaya kuliko ukimwi
 
Ukathibitisha kuwa hakuna Wayahudi!? Umewatambua vipi?
Tuchukulie umethibitisha hawakuwepo: Kwani ni lazima wawepo wayahudi ndo tukio liwe halisi!? Kuna Wafaransa wangapi? Wagermany wangapi na Watanzania wangapi?

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Wamemention nchi zao ni vema ufuatilie kwanza ndio mabishano yaendelee km hujui duniani mataifa yote makubwa viongozi wao wanavinasaba vya kiyaudi

Pili 100% uchumi wa marekani,Germany,French,Italy wamiliki ni wayaudi utaelewa sasa kwanini ilikuwa vile
 
mwanadamu hawezi kuengeneza ugonjwa virusi nikimaanisha kiumbe hai..ukimwi ulikiwepo ila ulicross species badala ya kuwa kwa viumbe fulani vikajikuta mfumo wa seli zetu zinaweza kusupport maisha yao kwahiyo ukafanya colonization kwetu..na kuna magonjwa kibao ambayo yapo kwenye viumbe ambao hauwajui ambayo yanaweza kuwa mabaya kuliko ukimwi
Ukisoma mechanism ya kirusi ndani ya mwili wa mwanadamu hasa HIV ndio utagundua ni man made na kwanini kinashindwa tibika
 
ilishakuwa proved jamani hata kwa akili ya kawaida kwa umbali wa jua lilipo kama dunia ingekua flat tungekua tunaliona kila muda kusingekua na usiku amabapo jua halionekani....mfano chumbani kwako ukiwasha taa kila utakapokua lazima uione
Lakini pia dunia sio duara unajua?
 
●Rebirth ni roho ya mtu aliyekufa kuzaliwa upya ikiwa haina kumbukumbu
●Reincarnation ni roho ya mtu aliekufa kupewa mwili mpya kwa kuzaliwa tena

●magic mushroom ni aina ya uyoga ambao ukila wanadai unasaidia kukuongezea self awareness.. zaidi ya hii ambayo tunayo

●Satan Bible pia kuna biblia ilioandikwa na shetani amabayo nayo inamaajabu kama hiii ya mungu
Kiufupi ukizisoma mwenyewe mtandaoni utazielewa
Hii mushrooms mbona kaa tayari imethibitishwa
 
ilishakuwa proved jamani hata kwa akili ya kawaida kwa umbali wa jua lilipo kama dunia ingekua flat tungekua tunaliona kila muda kusingekua na usiku amabapo jua halionekani....mfano chumbani kwako ukiwasha taa kila utakapokua lazima uione
Nilijua unasema dunia ni flat
 
Antarctica watu wanaishi, ila sio permanent
Lile bara ni utalii tu ....hakuna maisha ya kudumu na kuna theory zinaonyesha ile ni ice berg ilioganda so kwa mantic hio sio salama kwa makazi
 
Mechanism ya multiplication zake
Kinavocut RNA yake na kuunga kwenye DNA ya binadamu.. mwisho wa siku mwili wenyewe unazalisha virus bila kujitambua
its principle wale virusi wanfanya kama kuzaliana anapoingia yeye kama yeye anataka kuendeleza species kama moja ya sifa ya kiumbe hai lazima azaliane sasa katika hii harakati lazima atafute njia ni kama kutungisha mimba na kumbuka virusi vilikua na uwezo huo ndio maana vika survive generation over generation vikitafuta namna nzuri ya kuishi kama sisi sasa hivi ambapo mtu asipoweza kubeba mimba wanamfanyia upandikizaji sasa na vyenyewe katika kutafuta kuendelea kuishi vikadevelope namna ya kukata dna ili iungane naye seli zetu na dna zetu naturally zimeumbwa kujizalishia dna nyingine. Sasa aiksha pachika pale dna yake pale dna zenyewe inabidi ziemdelee kuzalisha kwa sababu condition zote zimekua met bila kujua...rejea darwin theory kwamba kiumbe kinazaliwa kina adapt kina perpetuate
 
Back
Top Bottom