Orodha ya nadharia zenye utata duniani (conspiracies)

Orodha ya nadharia zenye utata duniani (conspiracies)

Kama AIDS ni fake hata mimi sitakiwi kuwepo. Akitaka kuamini aende kwenye madanguro pale Mwananyamala achukue wawili watatu apige kavu kavu ndio atajua AIDS ni fake au real.
Yaaani🤓🤓🤓
 
Virus wote dunian km sio kuna kinga basi kuna njia ya kuwaondoa ....mfano hepatitis,covid,hepazoster n.k


Lakini ukimwi wanadelay chajo kwa sababu kuna kitu kinapatikana
Especially Africa tunamtegemea USA 100% katika huduma hii
soma tabia za kundi la hawa virusi afu ndo uje
 
Yaani waue raia wao zaidi ya 3,000 ili wapate sababu ya kumuua huyo mtu mmoja?
Naamini wanasiasa hawajali raia wao ila wanajali 'wa kwao' inaweza kuwa familia, ndugu, kabila, imani, au kundi flani la jamii.

Fatilia 'Military-industrial complex' uelewe kwamba vita zote na matumizi yote ya silaha duniani ni swala la kibiashara.

biashara ni kulenga faida iwe ni madawa ya kulevya, bidhaa fake or whatever you name it!
 
Naomba code za free data kwa Tigo au airtel au vodacom nimechoka kununua bando,njoo DM
 
Kwann kwa ukimwi tuu na sio magonjwa pandemic mengine

Ukweli kwamba huu ugonjwa ni man made na faida kubwa wanapata kupitia developing countries km misaada mfano USAID,UKAID,TWAWEZA...
Another conspiracy theory
 
Hizi ni nadharia zenye utata hapa duniani hii ndio list yangu km unayo ongeza chini hapo

rebirth and reincarnation
●Time travelling
●Human clone
●magic mushroom
●mermaid (samaki watu)
●Allen's and UFO
●Ark of the Covenant (Sanduku la agano)
●Satan Bible
●De javuu theory
●meditation and yoga
●unlucky in 13 number





Unaruhusiwa kuongezea
Umechanganya..kuna vitu umeviweka hapo siyo nadharia..mfano Meditation na Yoga..hivi vipo kwa uhalisia wake na watu wanavifanya..
 
Wewe umejuaje huo unaoujua ndio ukweli na wengine hawaujui??
[emoji117] The Flat earth Reality
[emoji117] Solar system is scam
[emoji117] Space is fake
[emoji117] Planets are fake
[emoji117] Gravitational force is scam(fake)not exist
[emoji117] Satellites are fake, they use Weather balloons as flying object in the SKY but lie you sky is space, their balloons are sorrounding the earth so that they used to call those balloons as satellite.
[emoji117] Sun is local and not the star&is not located far away as they told you
[emoji117] HIV/AIDS is scam
[emoji117] All religions are fake
[emoji117] Democracy is scam
[emoji117] Capitalism is scam
[emoji117] Socialism is scam
[emoji117] NASA's moon landing was fake
[emoji117]aliens invasion is fake
[emoji117] global warming and disasters are scams, they are both made by people and not happening naturally
[emoji117] bermuda triangle's stories are scams, they's secret agenda going there
[emoji117] Mars exploring is fake
[emoji117]freemason&illuminate stories are fake
[emoji117] World's Map is fake
[emoji117] Africa's freedom is Fake

Hayo yote yameongelewa sana sehemu mbalimbali na vyanzo mbalimbali vya, so tujitahidi kusoma tuzidi kupata maarifa, nina points za kutetea hoja zote za hayo mambo ambayo watu wamekuwa wakiyaamin ni kweli na mengine wamefundishwa kuwa yako hivi, kumbe uhalisa yako kivingine, kiufupi tunaishi dunia kwa kuujua ukweli by 10% only, na 90% wengi hamujui sababu ya watu wachache kubatilisha ukweli kwa maslahi yao hapa duniani[emoji120]
 
The birthday of Jesus Christ, haijawahi kuelezwa popote Yesu alizaliwa siku gani.
... la muhimu zaidi ni kwamba alizaliwa;wako wengi sana siku zao za kuzaliwa hazijulikani. Ungeeleza kufa na kufufuka kwake au kupaa kwake that could be a miracle; ila siku ya kuzaliwa kutojulikana na wanadamu; that's very normal.
 
Kama AIDS ni fake hata mimi sitakiwi kuwepo. Akitaka kuamini aende kwenye madanguro pale Mwananyamala achukue wawili watatu apige kavu kavu ndio atajua AIDS ni fake au real.
Yaani we unapambana na dude heavy halafu mwehu tu aje aseme unapambana na upepo simply because hajui unachopambana nacho 😂😂
 
Back
Top Bottom