Orodha ya nadharia zenye utata duniani (conspiracies)

Hoja zako Ungeweka kwa kiswahili, Ingekua poa Sana, Hasa kwa sisi tulokimbia umande mkuu[emoji4]
 
Hivi still ni man made ndio maana hata version ya HIV ya ulaya tofauti na HIV ya bongo

Hata dawa pia hatutumi sawa na wao
 
Hivi still ni man made ndio maana hata version ya HIV ya ulaya tofauti na HIV ya bongo

Hata dawa pia hatutumi sawa na wao
hio inaitwa variation of species kutokana na mazingira ndio maana hata katika viumbe kuna variation mfano tuchukulie chura aina mbali mbali sasa virusi pia vipo hivo hivo ila vinategemeana na eneo na huu unaouona unaenda mpaka kwenye genetic construcion kwa hiyo unakuta ulaya kuna version ya ukimwi ya aina fulani kutokana na mazingira yako kwahiyo behaviour, morphology zinakua tofauti na hii inatokana na survival for fittest ya virusi kwa hiyo lazima dawa tofauti zitumike
 
.Existance of god
 
Kwann kwa ukimwi tuu na sio magonjwa pandemic mengine

Ukweli kwamba huu ugonjwa ni man made na faida kubwa wanapata kupitia developing countries km misaada mfano USAID,UKAID,TWAWEZA...
 
Kwann kwa ukimwi tuu na sio magonjwa pandemic mengine

Ukweli kwamba huu ugonjwa ni man made na faida kubwa wanapata kupitia developing countries km misaada mfano USAID,UKAID,TWAWEZA...
ni kwasababu ni virusi namna yao ya maisha huwezi kulinganisha na magonjwa kama yanayosabishwa na bacteria na kibaya zaidi virusi huweza kuzalisha genetic code zake kwa seli zetu ambazo zinaonekana ziko sawa mpaka pale ziakapokua acivated kwa hiyo zinakua zipo nje ya rada ya mfumo wa kujikinga na magonjwa
 
Virus wote dunian km sio kuna kinga basi kuna njia ya kuwaondoa ....mfano hepatitis,covid,hepazoster n.k

Lakini ukimwi wanadelay chajo kwa sababu kuna kitu kinapatikana
Especially Africa tunamtegemea USA 100% katika huduma hii
 
Wee jamaa unayoelezea yote ni ukweli mtupu nainjoi sana... BS
 
Variation good...
 
Virus wote dunian km sio kuna kinga basi kuna njia ya kuwaondoa ....mfano hepatitis,covid,hepazoster n.k

Lakini ukimwi wanadelay chajo kwa sababu kuna kitu kinapatikana
Especially Africa tunamtegemea USA 100% katika huduma hii
Good hapa umejenga swali zuri sana ngoja ajibu
Ni kwanini HIV tu
 
Namaanisha Evolution Theory,... Mfano kwamba Mtu ame_evolve toka kwa Sokwe ni kweli ipo hivyo kwa 100%??
 
Kwa hiyo tufanyaje? Tufanye hakuzaliwa basi. Kwa kuwa hakuna sehemu tumeambiwa alioga basi tuseme hakuwahi kuoga. Wasabato bwana.
ARV kuna hoja yako huku kuhusu ukimwi inajadiliwa..
Wewe kama wewe ARV unazungumziaje hili ukiwa kama medicine ya kupunguza makali..? πŸ€“πŸ€“
 
Mkuu mbona kimya ukuje huku DAN LOKOMOTIVE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…