Orodha ya nadharia zenye utata duniani (conspiracies)

Asilimia 90 %0ya badharia hazina ukweli... Most nizakubuni hivyo siwezi umiza kichwa kudeal na vitu ambovyo ata mwenyewe huwezi proof... Nnacho amini ni existence of God
Even hii deepdown nayo ni nadharia cause haina proof
 
Asilimia 90 %0ya badharia hazina ukweli... Most nizakubuni hivyo siwezi umiza kichwa kudeal na vitu ambovyo ata mwenyewe huwezi proof... Nnacho amini ni existence of God
Kwanini hazina ukweli .. prove
 
Even antlantic continent pale tumepigwa haiwezekani wakatafute uhai wa maisha Mars wakati kuna bara hapa hapa ulimwenguni halikaliwi na watu
Unawezaje ishi kwenye barid kali vile,
Ila akili za mwafrika ni duni sana ndomaana afrika kuna nuka umaskini
 
Ni baridi sababu oxygen ipo
We unadhani sababu ni nin kama sio barid
Lile bara ni ice berg na inayeyuka day after day so huwezi fanya shughuli zozote kwenye mwamba wa barafu, ndio maana hakuna miti wa kichaka chochote
 
But still conspiracy maana kuhusu yoga kuna wqtu wanadai ni ushirikina wengine wanadai sio ushirikina km ilivo magic mushroom so still debate hakuna majibu ya moja kwa moja inabase on belief ya mtu
Kama ndiyo hivyo kwenye orodha yako weka na dini
 
Inasadikika namba 13 sio ya bahati na baadhi inasadikika magorofa makubwa duniani lift zake hazina namba 13 inasadikika ni namba ya mkosi
Ndo maana hio namba 13 kwenye mpira Michael ballack alifika fainali tatu lakin zote hakubeba kombe.
 
Ndo maana hio namba 13 kwenye mpira Michael ballack alifika fainali tatu lakin zote hakubeba kombe.
Ni Vera kwa manufaa ungeelezea finalise za kombe lipi?
 
...Unaishi Duniani Kweli ?..
[emoji848]
 
Aisee, kwamba walikosa sababu mpaka watoe uhai wa ndugu zao!!??
....Kwa tunavyowajua Wamarekani, Wana haja Kutafuta sababu, kiasi Cha kuua ndugu zao Kwa MAELFU, ili kupata sababu kumuua Mtu MMOJA TU, Sadam ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…