Orodha ya nadharia zenye utata duniani (conspiracies)

1..rebirth and reincarnation
● Magic mushroom
● Satan Bible
● De javuu theory
● Rebirth ni roho ya mtu aliyekufa kuzaliwa upya ikiwa haina kumbukumbu

●Reincarnation ni roho ya mtu aliekufa kupewa mwili mpya kwa kuzaliwa tena

● Magic mushroom ni aina ya uyoga ambao ukila wanadai unasaidia kukuongezea self awareness.. zaidi ya hii ambayo tunayo

●Satan Bible pia kuna biblia ilioandikwa na shetani amabayo nayo inamaajabu kama hiii ya mungu
Kiufupi ukizisoma mwenyewe mtandaoni utazielewa
 
[emoji117] The Flat earth Reality
[emoji117] Solar system is scam
[emoji117] Space is fake
[emoji117] Planets are fake
[emoji117] Gravitational force is scam(fake)not exist
[emoji117] Satellites are fake, they use Weather balloons as flying object in the SKY but lie you sky is space, their balloons are sorrounding the earth so that they used to call those balloons as satellite.
[emoji117] Sun is local and not the star&is not located far away as they told you
[emoji117] HIV/AIDS is scam
[emoji117] All religions are fake
[emoji117] Democracy is scam
[emoji117] Capitalism is scam
[emoji117] Socialism is scam
[emoji117] NASA's moon landing was fake
[emoji117]aliens invasion is fake
[emoji117] global warming and disasters are scams, they are both made by people and not happening naturally
[emoji117] bermuda triangle's stories are scams, they's secret agenda going there
[emoji117] Mars exploring is fake
[emoji117]freemason&illuminate stories are fake
[emoji117] World's Map is fake
[emoji117] Africa's freedom is Fake

Hayo yote yameongelewa sana sehemu mbalimbali na vyanzo mbalimbali vya, so tujitahidi kusoma tuzidi kupata maarifa, nina points za kutetea hoja zote za hayo mambo ambayo watu wamekuwa wakiyaamin ni kweli na mengine wamefundishwa kuwa yako hivi, kumbe uhalisa yako kivingine, kiufupi tunaishi dunia kwa kuujua ukweli by 10% only, na 90% wengi hamujui sababu ya watu wachache kubatilisha ukweli kwa maslahi yao hapa duniani[emoji120]
Utakuwa mteja mzuri wa CD/DVD za Maustaadhi. Toka nje ya box kuna mengi utayaelewa.
 
mkuu unasema aids ni fake???inabidi ujitathmini ulichokiandika
 
No kuna documentary nyingi zinadai siku io wayahudi hawakuwepo kwenye yale majengo km walivujishiwa ili kikombe kiwaepuke
Hiyo pia ni story tu, sidhani kama kuna mtu aliwahi kupitia orodha ya majina ya waliofariki eneo la tukio na kithibitisha hilo. Marekani ikitaka jambo lake liwe linakuwa tu wala hawana haja ya kupoteza uhai wa raia wao.
 
Yapo ingia mtandaoni hata sasa hivi nilikuwa nayasoma
 
[emoji117] The Flat earth Reality
[emoji117] Solar system is scam
[emoji117] Space is fake
[emoji117] Planets are fake
[emoji117] Gravitational force is scam(fake)not exist
[emoji117] Satellites are fake, they use Weather balloons as flying object in the SKY but lie you sky is space, their balloons are sorrounding the earth so that they used to call those balloons as satellite.
[emoji117] Sun is local and not the star&is not located far away as they told you
[emoji117] HIV/AIDS is scam
[emoji117] All religions are fake
[emoji117] Democracy is scam
[emoji117] Capitalism is scam
[emoji117] Socialism is scam
[emoji117] NASA's moon landing was fake
[emoji117]aliens invasion is fake
[emoji117] global warming and disasters are scams, they are both made by people and not happening naturally
[emoji117] bermuda triangle's stories are scams, they's secret agenda going there
[emoji117] Mars exploring is fake
[emoji117]freemason&illuminate stories are fake
[emoji117] World's Map is fake
[emoji117] Africa's freedom is Fake

Hayo yote yameongelewa sana sehemu mbalimbali na vyanzo mbalimbali vya, so tujitahidi kusoma tuzidi kupata maarifa, nina points za kutetea hoja zote za hayo mambo ambayo watu wamekuwa wakiyaamin ni kweli na mengine wamefundishwa kuwa yako hivi, kumbe uhalisa yako kivingine, kiufupi tunaishi dunia kwa kuujua ukweli by 10% only, na 90% wengi hamujui sababu ya watu wachache kubatilisha ukweli kwa maslahi yao hapa duniani[emoji120]
Sijaelewa

Kwamba flat earth ni fact?
 
Vipi kuhusu Evolution Theory
evulotion inatokea ndio maana leo hii kuna samaki wanapotea.magonjwa yanzaliwa upya, mwanadamu umri wa kuishi unapungua watu wanashida za uzazi ,,uyoga ndio uakuja kubaki kama iumbe maana kusurvive na kuzaliana kunategemea vitu vilvyokufa na upepo kuzaliana
 
Back
Top Bottom