ni movie kali sana iyoπ€£π€£Mimi nimewahi kuota vita napigana na watu wa mataifa ya nje, nimeota nipo natembea sokoni, ghafla inapigwa ambushi. Ndege za kivita, silaha yani ni vita kabisa. At the end of the day nikapambana sana, wenzangu wengi walikufa kwenye hiyo vita, mwisho wa siku nili survive kwani nilimteka kiongozi wa hao wazungu. Hivyo waka surrender lakini niliumia kwa kupata majeraha kadhaa, at the end of the day nikademand pesa nikapewa dollar kadhaa na kumuachia huyo kiongozi wao.
Hiyo ndoto nilivyoamka nilijihisi kabisa uchovu. Acha tu.
You have spoken well, mkuu.Ambao hamuoti na mnaoota hamkumbuki, Ulimwengu wa Roho umeibiwa na adui...
Hivyo ombeni tena Toba na rehema mrejeshewe Tena macho ya Rohoni...
Maisha ya mwilini yanaanzia Rohoni
Kweli asiyeoota ni maiti hai hyoooYou have spoken well, mkuu.
Mtu asiyeota ndoto kabisa atambue kuwa yuko kwenye hatari kubwa mno kiroho!
Ndoto ni lango la mawasiliano kati yetu na Mungu.
Toba na rehema vinahusika, tena ikibidi wafunge kabisa.
Paka na mbwa, fisi hutumiwa na wachawi...Mimi kuna hizi ndoto unapambana na paka mdogo au kambwa kadogo yaani unavipiga kweli kweli lakini havifi
Vinakung'ata kwa kung'ang'ania balaa ukija kustuka usingizini ndio afadhali yako.
Juzi jumapili limekuja li fisi leupe ndotoni tumembana sana hadi nikastuka.
Na hizo ndoto huwa sio mara moja au mbili yaani zinajirudiagaPaka na mbwa hutumiwa na wachawi...
Hivyo wewe ulikuwa unapambana na wachawi ila huna nguvu za kutosha ndio maana ukang'atwa...
Sasa hapo kiroho kunakitu umepandikizwa...
Kifupi unavita inabidi uombe nguvu za Rohoni za kuweza kushinda...
Neno la Biblia linasema kupigana kwetu sisi sio kwa damu na nyama bali ni kwa falme na wakuu wa giza...
Yaani kupigana Kiroho
Wachawi huvaa sura za wanyama ni vita hiyo, tena shukuru bado unaona...Na hizo ndoto huwa sio mara moja au mbili yaani zinajirudiaga
hivo vipaka venyewe ni vidogo midsize lakini vimekomaa hadi vimezeeka.
Poa shukran.Wachawi huvaa sura za wanyama ni vita hiyo, tena shukuru bado unaona...
Ni pmNi mengi...kama haya ya ndoto na maono...
Sasa tatizo tukisema mnasema tuthibitishe...
Naomba nifafanue hapa pale nipomuta Surya PM, nikwakuwa nimeona kuwa anauelewa mpana wa mambo ya kiroho..Ni pm
Hilo ni jeshi la Giza ndio limetumwa kukushambulia.Mimi kuna hizi ndoto unapambana na paka mdogo au kambwa kadogo yaani unavipiga kweli kweli lakini havifi
Vinakung'ata kwa kung'ang'ania balaa ukija kustuka usingizini ndio afadhali yako.
Juzi jumapili limekuja li fisi leupe ndotoni tumembana sana hadi nikastuka.
Nasoma wapi? kwa maana Vitabu vilivyoandikwa ulimwenguni ni vingi sana...Kusoma
Kitabu cha kusoma ni biblia.Nasoma wapi? kwa maana Vitabu vilivyoandikwa ulimwenguni ni vingi sana...
are you a Christian?Mambo ya ndoto bhana ni mchanganyiko !!! Hizi ndoto za kuota uko shule hasa me siku hizi naota niko O-level tunaenda kupiga pepa la Mathe nna hofu kinoma naona kabisa watu washaanza kufanya pepa !! Sasa ile naingia wengine washaanza hadi kukusanya naangalia Pepa sio la Mathe ni Physics ππ kitete cha hapo sio poa !! Kesho yake nikaota nasimamia huo huo mtihani nimekua msimamizi wa huo mtihani nishaajiriwa majengo ni design ya chuo ila wanaofanya pepa ni madogo na kwenye venue niliwakuta watu wazima nikawaondoa ili madogo wafanye mtihani !! Ndo imejirudia mara nyingi nyingi asee !!
Ndio mkuuare you a Christian?
Let me give you some tips..Ndio mkuu