Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake
Mimi kuna hizi ndoto unapambana na paka mdogo au kambwa kadogo yaani unavipiga kweli kweli lakini havifi
Vinakung'ata kwa kung'ang'ania balaa ukija kustuka usingizini ndio afadhali yako.
Juzi jumapili limekuja li fisi leupe ndotoni tumembana sana hadi nikastuka.
 
Mimi nimewahi kuota vita napigana na watu wa mataifa ya nje, nimeota nipo natembea sokoni, ghafla inapigwa ambushi. Ndege za kivita, silaha yani ni vita kabisa. At the end of the day nikapambana sana, wenzangu wengi walikufa kwenye hiyo vita, mwisho wa siku nili survive kwani nilimteka kiongozi wa hao wazungu. Hivyo waka surrender lakini niliumia kwa kupata majeraha kadhaa, at the end of the day nikademand pesa nikapewa dollar kadhaa na kumuachia huyo kiongozi wao.

Hiyo ndoto nilivyoamka nilijihisi kabisa uchovu. Acha tu.
ni movie kali sana iyo🤣🤣
 
Ambao hamuoti na mnaoota hamkumbuki, Ulimwengu wa Roho umeibiwa na adui...

Hivyo ombeni tena Toba na rehema mrejeshewe Tena macho ya Rohoni...

Maisha ya mwilini yanaanzia Rohoni
You have spoken well, mkuu.

Mtu asiyeota ndoto kabisa atambue kuwa yuko kwenye hatari kubwa mno kiroho!

Ndoto ni lango la mawasiliano kati yetu na Mungu.

Toba na rehema vinahusika, tena ikibidi wafunge kabisa.
 
Ukiotaa ndoto Inahisisha Baharii..Mto..Ziwa yani kitu chenyr majiii...!! USIPUUZEE...USIPUUZE. hasa kama ilikuwa ni jambo bayaaa kama kuzama maji au kupata ajali ya chombo cha maji.
 
Mimi kuna hizi ndoto unapambana na paka mdogo au kambwa kadogo yaani unavipiga kweli kweli lakini havifi
Vinakung'ata kwa kung'ang'ania balaa ukija kustuka usingizini ndio afadhali yako.
Juzi jumapili limekuja li fisi leupe ndotoni tumembana sana hadi nikastuka.
Paka na mbwa, fisi hutumiwa na wachawi...

Hivyo wewe ulikuwa unapambana na wachawi ila huna nguvu za kutosha ndio maana ukang'atwa...

Sasa hapo kiroho kunakitu umepandikizwa...

Kifupi unavita inabidi uombe nguvu za Rohoni za kuweza kushinda...

Neno la Biblia linasema kupigana kwetu sisi sio kwa damu na nyama bali ni kwa falme na wakuu wa giza...

Yaani kupigana Kiroho
 
Paka na mbwa hutumiwa na wachawi...

Hivyo wewe ulikuwa unapambana na wachawi ila huna nguvu za kutosha ndio maana ukang'atwa...

Sasa hapo kiroho kunakitu umepandikizwa...

Kifupi unavita inabidi uombe nguvu za Rohoni za kuweza kushinda...

Neno la Biblia linasema kupigana kwetu sisi sio kwa damu na nyama bali ni kwa falme na wakuu wa giza...

Yaani kupigana Kiroho
Na hizo ndoto huwa sio mara moja au mbili yaani zinajirudiaga
hivo vipaka venyewe ni vidogo midsize lakini vimekomaa hadi vimezeeka.
 
Naomba nifafanue hapa pale nipomuta Surya PM, nikwakuwa nimeona kuwa anauelewa mpana wa mambo ya kiroho..

Namimi ninataka kujifunza...

Sasa sikutaka kuharibu Uzi huu...

Wanaongozwa na Roho wa Mungu hao ndio wana wa Mungu
 
Mambo ya ndoto bhana ni mchanganyiko !!! Hizi ndoto za kuota uko shule hasa me siku hizi naota niko O-level tunaenda kupiga pepa la Mathe nna hofu kinoma naona kabisa watu washaanza kufanya pepa !! Sasa ile naingia wengine washaanza hadi kukusanya naangalia Pepa sio la Mathe ni Physics 😂😂 kitete cha hapo sio poa !! Kesho yake nikaota nasimamia huo huo mtihani nimekua msimamizi wa huo mtihani nishaajiriwa majengo ni design ya chuo ila wanaofanya pepa ni madogo na kwenye venue niliwakuta watu wazima nikawaondoa ili madogo wafanye mtihani !! Ndo imejirudia mara nyingi nyingi asee !!
 
Mimi kuna hizi ndoto unapambana na paka mdogo au kambwa kadogo yaani unavipiga kweli kweli lakini havifi
Vinakung'ata kwa kung'ang'ania balaa ukija kustuka usingizini ndio afadhali yako.
Juzi jumapili limekuja li fisi leupe ndotoni tumembana sana hadi nikastuka.
Hilo ni jeshi la Giza ndio limetumwa kukushambulia.
Ukiwa na knowledge (nuru) ya kutosha ya kumjua Mungu. unakuongezea skills za kupambana.
Unaweza pata silaha ya kuwauwa kirahis
au
mfano mm huwa ninapewa uwezo wa kupaa.

Kuna siku niliota ndoto, kundi kubwa la mbwa linakuja kunishambulia, mbwa kama 50 hivi..
Nikawathihaki tu moyoni, nikaanza kurusha mikono yangu kama mabawa, huyoooo nikapaa juu. i fly like an Angel.
 
Nasoma wapi? kwa maana Vitabu vilivyoandikwa ulimwenguni ni vingi sana...
Kitabu cha kusoma ni biblia.
ina reference nyingi sana ya ndoto na tafsiri zake,
na Elimu nzima kuhusu ndoto.

Note:
Doctor anaweza kumsikiliza mgonjwa kwa dakika 10 na kumuandikia dawa.
Lakini Ujuzi wake anakua Kaupata kwa zaidi ya miaka mitano.
(Lazima ujitoe gharama ya Muda na kujifunza kwa bidii)
 
Mambo ya ndoto bhana ni mchanganyiko !!! Hizi ndoto za kuota uko shule hasa me siku hizi naota niko O-level tunaenda kupiga pepa la Mathe nna hofu kinoma naona kabisa watu washaanza kufanya pepa !! Sasa ile naingia wengine washaanza hadi kukusanya naangalia Pepa sio la Mathe ni Physics 😂😂 kitete cha hapo sio poa !! Kesho yake nikaota nasimamia huo huo mtihani nimekua msimamizi wa huo mtihani nishaajiriwa majengo ni design ya chuo ila wanaofanya pepa ni madogo na kwenye venue niliwakuta watu wazima nikawaondoa ili madogo wafanye mtihani !! Ndo imejirudia mara nyingi nyingi asee !!
are you a Christian?
 
Ndio mkuu
Let me give you some tips..

Test or Examination ni sehemu ya maisha.
Mungu hutoa mtihani kwa watu wake, na ukimaliza na kufaulu huo mtihan, unapanda darasa la kiroho na unapanda kimaisha.

Binafsi hata mm ninapokuwa mvivu katika darasa la kiroho nakutana na mtihani mgumu. Lakini Mungu ni mwaminifu hutupa nafasi zaidi.

Katika ndoto ya kufanya mtihani.. unapopata nafasi ya kujua ni mtihani wa somo gani, hapo tayari kwenye somo kunakua na maana.

Dream is not all about what you see, but unatakiwa kuwa makini nini roho inakwambia kuhusu mazingira unayokutana nayo ndotoni.
what spirit tell you.

Unaweza ukawa upo kwenye mtihani, umeshikilia mtihani muanze kufanya lakini rohoni unajishuhudia mwenyewe hivi nitatoboa kweli maana sikupiga msuli ulioshiba na pengine unakumbuka kabisa hukupata muda wa kutulia kusoma.

So, kupitia hilo unatambua nn roho anakusemesha na kukumbusha.
 
Back
Top Bottom