NAOMBA KUFAHAM, NILIOTA NIKO KWENYE FOLEN YA KUNUNUA NYAMA YA MBUZI BUCHANI, NINI TAFSIRI YAKE.
 
Msaada me naota jua limepatwa pia mwezi umepatwa huku najishutukia nakujisemea kiama kimefika me natenda zambi je INA maaana gani?
 
Mkuu Nimeota kukutana na nyoka mweusi kwenye maji na akaanza kutufukuza,hatimae akauawa kwa kubanwa kichwa kwa jembe
 
Toka nikiwa mdogo mpaka leo naota nimepanda ndege na imeanguka ndoto huwa inajirudia marakwa mara haipiti miezi sita lazima niote
 
Salam!
Naomba utafsiri ndoto hi
Nimeota tuko sehemu tunasafisha eneo Kama bmvile tu afyekaka nyasi lakini inao ekana tunatiia fimbo Mara nilipochapa Kama. Nafyeka kwa kutumia fimbo jle nikamrussha Nyoka hewani kuangalia juu namuona anarudi chini alafu anatua mule mule kwenye ufensi thlimokjwa nikajaribu kumugusa ili nimtulpe nje mwa mikono lakini ndoto imapotea

Nyoka ni mweusi mwenye rangi ya wekundu was moto kwa chini
 
Kama kichwa cha habari hapo juu, hivi ukiota unafukuzwa na simba dume tena ukiwa peke yako au ukifukuzwa na watu wabaya au ukiota unakula (kufanya mapnzi)katika ndoto ni ishara ya nini kwa wataalamu.
Maana hivyo vitu nimekuwa nikiviota kwa muda mrefu but nimekuwa nikipuuza..naombeni msaada kwa wajuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…