Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mna raha...mie sioti ht ndoto. ..sijui nimekuwa mfu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sie wengine tunaota hadi Lucid Dreams... ndoto fulani za kiboya sana though sometimes zinakupa confidence wakati bado unakoroma!!!Mna raha...mie sioti ht ndoto. ..sijui nimekuwa mfu
Itakuwa na maana yake hii ngoja waje kaka,maana sasa napata wasi wasi,mda wote ni hofu na mashakaPole jamaa yaan hii ndoto hata mm huwa inanitokea sana kila Mara naota nipo kwenye chumba Cha mtihani alaf maswali ya mtihani yote nakuwa na uwezo wa kuyajibu Ila tatizo linakuja kila nikianza kufanya najikuta nimekisea inaniwia nianze upya had muda wa mtihani unaisha nakuwa nishajibu robo ya mtihani wote ambao kiukwel naujua wote ,wakat mwingine naota nimechelewa nyuma lisaa limoja la kuanza mtihani naingia kwenye chumba Cha mtihani nakuta tayal wenzangu wameishafanya maswali kadhaa ,huwa inanitisha sana jaman Kama Kuna mtu anayejua kutafsiri hii ndoto aje atusaidie mm na mleta mada maana naona tunaota ndoto inayofanana
Hata mm naamini imebeba maono fulani ambayo kwa akili za kawaida hatuwez kugundua Ila ngoja tusubilie wajuz wa ndoto Nina Imani watakuja na majibu yatapatikana tuItakuwa na maana yake hii ngoja waje kaka,maana sasa napata wasi wasi,mda wote ni hofu na mashaka
Hahaha!upo kama Mimi nimeota ndoto hiyo huwezi amini baada ya kumaliza darasa la saba mwaka 99 hadi Leo hii bado inajirudia.Mara kwa Mara naota nipo chumba cha mtihani lakini nashindwa kumaliza maswali, Mara kalamu inagoma kuandika au nachelewa kufika hadi mda was pepa unaisha.Cha ajabu mitihani yote nilifaulu kuanzia wa saba, FM 2, fm 4, FM 6 hadi chuo kikuu nilimaliza mwaka 2011.Pamoja na hivyo bado naota kufeli mitihani tu ndoto inajirudia!Pole jamaa yaan hii ndoto hata mm huwa inanitokea sana kila Mara naota nipo kwenye chumba cha mtihani halafu maswali ya mtihani yote nakuwa na uwezo wa kuyajibu ila tatizo linakuja kila nikianza kufanya najikuta nimekisea inaniwia nianze upya had muda wa mtihani unaisha nakuwa nishajibu robo ya mtihani wote ambao kiukweli naujua wote
Wakati mwingine naota nimechelewa nyuma lisaa limoja la kuanza mtihani naingia kwenye chumba cha mtihani nakuta tayari wenzangu wameishafanya maswali kadhaa, huwa inanitisha sana jamani Kama Kuna mtu anayejua kutafsiri hii ndoto aje atusaidie mimi na mleta mada maana naona tunaota ndoto inayofanana
Hapa iko namna lazima Kuna Mambo hayako sawa tunapaswa kuyafanya na Kama hatujayafanya Basi Ni kwakutojua Sasa tunahitaj maono ili tuondokane na hii ndotoHahaha!upo kama Mimi nimeota ndoto hiyo huwezi amini baada ya kumaliza darasa la saba mwaka 99 hadi Leo hii bado inajirudia.Mara kwa Mara naota nipo chumba cha mtihani lakini nashindwa kumaliza maswali, Mara kalamu inagoma kuandika au nachelewa kufika hadi mda was pepa unaisha.Cha ajabu mitihani yote nilifaulu kuanzia wa saba, FM 2, fm 4, FM 6 hadi chuo kikuu nilimaliza mwaka 2011.Pamoja na hivyo bado naota kufeli mitihani tu ndoto inajirudia!
Tafsiri kwa njia zote mbili ili kila mtu ajue wapi pakuanziaMkuu hii ndoto inaweza tafsirika.
Ungependa njia ipi itumike
1. MUNGU
2. USHIRIKINA
Hence, Majibu ya hizo njia mbili yanatofautiana
Tafsiri kwa njia zote mbili ili kila mtu ajue wapi pakuanzia
Dadavua mkuu plzYupo mtaalaamu mwenyew freedom tomorrow
Mm nimechagua upande wa munguMkuu, Madhabahu mbili haziwezi tafsiri ndoto moja. Achague njia moja
Mm nimechagua upande wa mungu
Mkuu iko hivi mimi sio mtaalamu wa ndoto ila nitakujibu kutokana na uelewa wangu.Imekuwa mara kwa mara sasa nakuwa naota nipo shuleni,O_level ilhali nilisha maliza zamani.
Wakati mwingine naota nipo katika chumba cha mtihani, ndoto hii imekuwa mara kwa mara sasa, nawaza huenda itakuwa na maana yeyote kwenye maisha halisi ya hivi sasa,kwa wajuzi wa ndoto msaada tafadhali.