Nyege tu hizo
anahitaji dyudyu huyo
 
Mlete tumpelekee moto atafurahi mwenyewe na ndoto hatapata.
Nikishindwa basi tutamtafuta Beesmom amfundishe kitu kinaitwa self service
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]me nilidhan hafurahii kumbe hadi BJ anapiga
Vipi na jini anazama uvinzani?
Kila kitu kamaliza hapo uvinza lazima na,hadi jini wa kike wanamkoboa 😅
Akiamka asubuhi papuchi inanyevua nyevua kwa utamu
 
Sio utani nakwambia uyo ni jini mahaba na kma upo serious apate tiba njoo PM
 
Naona umeuliza swali na umejijibu, ila unachohisi ndicho.
Achana na kina Mwamposa watam manipulate wanavyotaka maisha yake yote maana healing zao ni za muda tu ili uwe hooked kwao

Sijui ni wa imani gani lakini kama unania kwel funga siku 7 uwe unakula jioni tu, katika siku hizo
--acha kufanya mapenzi, (kama hajaolewa aache paka atakapo olewa)
--acha kuangalia picha au video za ngono( hapa aache milele)
--usiperuzi mitandaoni ndani ya wiki hiyo (unataka kupona Nisikilize mim)
--Kimbia mazungumzo yenye mwelekeo wa ngono(be serious)
-- Mwisho ndani ya mfungo huo omba asubuhi mchana na jioni kupitia damu ya Yesu kristo itegue maagano yote uliyoingia kwakujua ama kwa kutokujua halafu amini kutoka moyoni

Masharti haya kama angekupa mganga wakienyeji ungeyatekeleza kwauaminifu wikinzima, ila kwa habari ya Mungu tunapata uvivu, kama unania usiwe mmoja wapo

Nb; usirudie njia zako mbaya
 
Mkuu unaongea ki 3rd party hatari!
Ivi ukisema: "mimi ninasumbuliwa na....." kuna kosa?
Usiwe kama vizee vya zamani, kakitaka kukuonya, kanaanza kukuhadithia mapungufu ya mtu mwingine, utakuja kujua ama kugundua kwamba aliyesemwa katika simulizi hiyo ni wewe kutokana na kufananisha matendo yako na simulizi, kenyewe muda huo kamekwisha sepa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…