Kama unazini na mke wa mtu au unamichepuko jihadhari,au Kama una Mambo ya sirini jihadhari utaaibika mpakaa marafiki zako watakutengaUtapatwa na Jambo kubwa la fedheha,aibu kubwa sana inakuja mbele yako chukua tahadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unazini na mke wa mtu au unamichepuko jihadhari,au Kama una Mambo ya sirini jihadhari utaaibika mpakaa marafiki zako watakutengaUtapatwa na Jambo kubwa la fedheha,aibu kubwa sana inakuja mbele yako chukua tahadhari
Sawa mkuuUndava King ukipata muda unifumbue ilo fumbo la iyo ndoto ya uyo dada na mtoto wake
Una sintofahamu juu ya maamuzi yako mwenyewe juu ya wapi uanzie kutoka katika comfort zone, ndoto inajaribu kukwambia usiendelee kukwepa majukumu.Kuna ndoto nimeiota dada mmoja amekuja nyumbani kwetu akiwa anakatoto kachanga akidai nilimpa huo ujauzito hata simfahamu.kikaitishwa had kikao cha ndugu na wazee majiran nami bdo nikaw nmemkatalia tu kuwa simfaham na huo ujauzito sikumpa mim. Akaondoka !
Kuota umekatika mguu?!Naomba uelezee unavyoelewa wewe zinamaanishaje uenda ukasaidia wengine pia kupata tafsiri ya ndoto zao.
Unapaswa 'kujiamini' hivyo hakikisha unaongeza uwezo wako wa kujithamini na kutojidharau kuwa uwezi. Pia kwa upande mwingine ni ishara ya kufungika kwa mlango mmoja na kufunguka kwa mlango mwingine hivyo get ready kwa fursa iliyo mbele yako.Kuna kazi ya maana niliomba kwenye taasisi Fulani sasa nimeota nimeikosa na nimedhaika Sana aisee
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ishara kuwa unapitia kipindi kigumu kazini au katika maisha yako mambo hayaendi.Kuota umekatika mguu?!
Bado haujawa tiyari kukabiliana na uhalisia wa maisha yako kwa kuuvaa ujasiri wa kuzikabili changamoto na magumu yake.[mention]Undava King [/mention] Mkuu nimeota nipo naiingia chumba cha mtihani wa form 4 ila sikujisomea kama miezi 6 hivi ya kujiandaa na huo mtihani, kwahyo nikawa napanga kukaa na rafiki yangu ili niigilizie, tukakaa na rafiki yangu lakini sikuiigilizia, walimu wakabana nikaenda home kupumzika baada ya mtihani, badae napata taarifa kuwa kuwa kuna mafuriko mtaa wa pili na mdogo wangu anakuja home kunisimulia namna alivyonusurika kufa kwenye mafuriko hayo na alinihadithia jinsi watu mbalimbali wamekufa ila yeye kapona.
Ila ndoto hiyo ikawa inanifanya kujuta kufanya mtihani bila kusoma miezi 6 inanisuta, na najutia kwanini sikujiandaa, mpaka nastuka usingizini nashangaa ile roho ya kujuta kufanya mtihani bila kujiandaa nikiwa nayo, mpka akili zimerudia ndo nkatambua kuwa mimi si mwanafunzi na nilishafanya mitihani miaka ya nyuma sana.
Hii kujutia kufanya mtihani bila kujisomea miezi 6 ndo imenitisha mpka sasa roho inaniuuma kisa huo mtihani na mm si mwanafunzi wa aina yoyote.
Nini maana ya hii ndoto?
natanguliza shukrani
Bado haujawa tiyari kukabiliana na uhalisia wa maisha yako kwa kuuvaa ujasiri wa kuzikabili changamoto na magumu yake.
Ndiyo maana ya ndoto za namna hiyo umtokea mtu mara kwa mara pindi anapokuwa akikabiliana na changamoto mbalimbali za kimaisha mpaka pale anapofanikiwa ndipo ukoma, kumaanisha kuwa umefahulu kuvuka hatua hiyo ya maisha.mbona najitahidi kuizikabili ila mamb hayajakaa sawa na matatizo hayo bado ni nayo
Ndoto hiyo ilikuwa inakupa tahadhari kuondokana na tabia isiyofaa inayoweza kukuangamiza au hatarishi kiafya au kujihusisha na watu wasiofaa katika mahusiano au maisha yako.Shukrani sana Mkuu,Ulichokizungumza kina akisi uhalisia wa mambo kwa asilimia karibu zote.kuna ndoto nyingine niliota muda kidogo ila haijawahi kunitoka kichwani hadi Leo kutokana na namna ilivyonitisha ndoto yenyewe ni kwamba mm na mdogo wangu tulikuwa tunaenda mahali lakini tukakatiza eneo kama la mbuga za wanyama then kukawa na wanyama kama simba na wengineo ktk hali hiyo tukiwa mbugani mm simba akawa ananifata lakini nilifakiwa kumtoroka kwa kujificha ktk kinyumba cha majani kilichopo humo mbugani badae nikatoka nikajikuta namuona mdogo wangu analiwa na simba na niliumia na mm ktk harakati za kujiokoa nikajikuta niko juu ya joka kubwa nyeusi kubwa sana nimesimama juu yake.
Ukubwa wa lile joka unene wake ni sawa na urefu wa mtu mzima yaan kama mtu mzima mrefu akisimama basi wanalingana kwa kimo cha unene wake.
Na urefu wake ni mkubwa pia japo sikuona mwanzo na mwisho wa urefu wake. lile joka halikuwa limefanya kitu chochote mm nikiwa juu yake sasa sikujua kama halikupata taarifa za uwepo wangu juu yake sababu ya udogo wangu or liliamua tu kukaa kimya sababu limeshiba.
Kama lingeamua kunimeza ni dakika sifuri tu ni nisitulize hata njaa yake.niliogopa sana na kujikuta nimeshtuka mpaka leo hiyo ndoto nikiikumbuka huwa natafakari sana sipatii majibu sawasawa japo kuna vitu naviona navihusisha na hiyo ndoto ila sina uhakika sana nataka kuprove tu kama ni sahihi,ndoto hii itakuwa na maana gani Mkuu??
Inaonekana unapenda sana kuangalia movie za kivita mkuuMimi nimewahi kuota vita napigana na watu wa mataifa ya nje, nimeota nipo natembea sokoni, ghafla inapigwa ambushi. Ndege za kivita, silaha yani ni vita kabisa. At the end of the day nikapambana sana, wenzangu wengi walikufa kwenye hiyo vita, mwisho wa siku nili survive kwani nilimteka kiongozi wa hao wazungu. Hivyo waka surrender lakini niliumia kwa kupata majeraha kadhaa, at the end of the day nikademand pesa nikapewa dollar kadhaa na kumuachia huyo kiongozi wao.
Hiyo ndoto nilivyoamka nilijihisi kabisa uchovu. Acha tu.
Asante nduguUnapaswa 'kujiamini' hivyo hakikisha unaongeza uwezo wako wa kujithamini na kutojidharau kuwa uwezi. Pia kwa upande mwingine ni ishara ya kufungika kwa mlango mmoja na kufunguka kwa mlango mwingine hivyo get ready kwa fursa iliyo mbele yako.
Mkuu, acha kabisa. Mimi vita ndio huwa ndoto zangu, hata sielewi ni nini yani. Huwa naota vita, yaani tumevamiwa, na wanajeshi huwa wamevaa kabisa nguo za kijeshi. Wanaingia mtaani, wanaanza kusaka watu. Mi nikiwa mmoja,wao, basi tunajificha. Mara nyingine wanatuona, nikikimbia nakutana nao, risasi zinakuwa zinapigwa. Ndoto zote za vita huwa zinakuwa mida ya jioni, yani kama saa 12 hivi kuelekea saa moja maana kunakuwaga hakuna jua. Juzijuzi tu, nimeota vita tena. Ndoto imeishia nimekmbia kuwakimbia wanajeshi, kumbe nilikokimbilia ndio nikakutana nao wawili. Mmoja akanielekezea bunduki, ile anataka tu kunifyatulia nikashtuka ghafla. Nilivyoshtuka nikakuta nwili wote unatetemeka, moyo unaenda mbio.Mimi nimewahi kuota vita napigana na watu wa mataifa ya nje, nimeota nipo natembea sokoni, ghafla inapigwa ambushi. Ndege za kivita, silaha yani ni vita kabisa. At the end of the day nikapambana sana, wenzangu wengi walikufa kwenye hiyo vita, mwisho wa siku nili survive kwani nilimteka kiongozi wa hao wazungu. Hivyo waka surrender lakini niliumia kwa kupata majeraha kadhaa, at the end of the day nikademand pesa nikapewa dollar kadhaa na kumuachia huyo kiongozi wao.
Hiyo ndoto nilivyoamka nilijihisi kabisa uchovu. Acha tu.