Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake
Kuoka ukiwa unapta barabarani na kukutan na matrafik wamevalia nguo nyeupe wengi wamesimama pemben ya barabara ina maana gan .....
 
Ukiota unasoma shule ya Msingi wakati ulimaliza Chuo kukuu?
Ndoto yako ina maana nyingi nitakwambia kwa uchache tu.
UNAPEWA ONYO KUHUSU MWENENDO NA TABIA ZAKO AMBAZO ZINAKURUDISHA NYUMA KIMAENDELEO.

Ulevi, uzinzi na uasherati pamoja na anasa za dunia ni miongoni mwa tabia na mienendo ambayo inarudisha nyuma maendeleo ya watu wengi sana . kama wewe unajihusisha na tabia hizo hapo juu halafu ukawa unaota ndoto umerudi utotoni basi ni ishara kwamba tabia na mwenendo wako vinakurudisha nyuma kimaendeleo. Tabia na mwenendo wako ndio mchawi wako namba moja.

NI ISHARA YA KUKUONDOA HOFU JUU YA JAMBO ULILO LIFANYA AU LILILO KUTOKEA AMBALO LIMEKUFANYA UWE NA HOFU KUBWA SANA KATIKA MAISHA YAKO.
UNAPEWA ONYO USIRUDIANE NA MTU ULIE KUWA UMEACHANA NAE.
NI ISHARA KWAMBA MARADHI YA KICHAWI YALIYO KUWA YANAKUSUMBUA YAMEPONA.
NI ISHARA KUWA NYOTA YAKO ILIYO KUWA IMEIBIWA AU KUCHAFULIWA SASA IMERUDISHWA.
UNA TAHADHARISHWA KUTOWEKEZA PESA ZAKO KWENYE BIASHARA MPYA AMBAYO UNATAKA KUIFANYA.
NI ISHARA KWAMBA MPANGO UNAO TAKA KUUFANYA UTA KUSABABISHIA HASARA KUBWA SANA NA UTAKURUDISHA NYUMA SANA.

KWA MTU ALIE BWETEKA NA KAZI AU SHUGHULI ANAYO IFANYA.

Anaweza kuota ndoto kama ishara kwamba kubweteka/kuridhika kwake kunamkwamisha na kumrudisha nyuma kimaisha na kimaendeleo
NI ISHARA KWAMBA MUNGU AMEKUFANYIA/ATAKUFANYIA WEPESI KWENYE JAMBO UNALO MUOMBA
NI ISHARA KWAMBA TABIA YAKO YA UZINZI NA UASHERATI INAKURUDISHA NYUMA KIMAENDELEO
NI ISHARA KWAMBA KUNA WATU WANA IBA MALI ZAKO AU MALI ZAKO ZINA TEKETEA.
KWA MTU ALIYE LISHWA LIMBWATA KWA LENGO LA KUCHUNWA PESA NA MALI ZAKE : Anaweza kuwa anaota ndoto amerudi shuleni au utotoni ikiwa ni ishara ya kwamba anarudishwa nyuma kimaisha na mtu ambae amemlisha limbwata la mapenzi.
Tafsiri zipo nyingi sana lakini kwa leo hizi zinatosha.
 
TAFSIRI YA SAUTI ZA WANYAMA KATIKA NDOTO​

Kuna baadhi ya watu wanaota wamesikia sauti za wanyama kama vile Ng’ombe, Simba, Nyoka na wengineo wengi, basi siku ya leo utaweza kupata faida kidogo ya kufahamu tafsiri za ndoto za aina hii kama ifuatavyo :-

Sauti za Makelele ya watu(Wakishangilia) :
Fahamu kwamba hiyo ni ishara ya pesa au mafanikio.

Sauti ya Kondoo : Hiyo ni ishara ya huzuni na kupata wasiwasi

Sauti ya Farasi : Ishara ya kupata nguvu na heshima.

Sauti ya Mbwa(Akibweka) : Hiyo ni ishara ya kufanya mambo yasiyo na faida na kujiingiza katika biashra zisizokuhusu ambazo huenda zikakuletea matatizo.

Sauti ya Mbayuwayu : Ishara nzuri ya kupata faida au ushauri kwa mtu mwenye hekima.

Sauti za Njiwa : Ishara ya kulia, uzuni au ndoa.

Sauti ya Nyoka : Ishara ya ugomvi, mabishano na uwezekano mkubwa wa kutokea Vita.

Sauti za Chura : Ishara ya kupigwa hadi kufa.

Sauti ya Punda : Ishara ya kulaaniwa katika ndoto.

Sauti ya Nyumbu : Ishara ya ushauri mbovu wa kujiingiza katika vitendo vibaya.

Sauti ya Ng’ombe : Ishara ya kupata majaribu au maingiliano ya Wachawi katika kufuatiliwa kila kona.

Sauti ya Ngamia : Hiyo ni ishara ya kusafiri na matatizo.

Sauti ya Simba : Ishara ya vitisho.

Sauti ya Paka : Ishara ya makelele, kusengenya, kashfa na kusingizia mambo.

Sauti ya Mbweha : Ishara ya kukutahadharisha hatari inayokuja mbele yako au kuondoka sehemu moja kwenda nyingine.

Sauti ya Mbwa mwitu : Ishara ya ujambazi.

Sauti ya Panya : Ishara ya faida, muungano wa mapenzi na amani.

Sauti ya Swala : Ishara ya kutakiwa urudi ulipozaliwa.
 
Ndoto yako ina maana nyingi nitakwambia kwa uchache tu.
UNAPEWA ONYO KUHUSU MWENENDO NA TABIA ZAKO AMBAZO ZINAKURUDISHA NYUMA KIMAENDELEO.

Ulevi, uzinzi na uasherati pamoja na anasa za dunia ni miongoni mwa tabia na mienendo ambayo inarudisha nyuma maendeleo ya watu wengi sana . kama wewe unajihusisha na tabia hizo hapo juu halafu ukawa unaota ndoto umerudi utotoni basi ni ishara kwamba tabia na mwenendo wako vinakurudisha nyuma kimaendeleo. Tabia na mwenendo wako ndio mchawi wako namba moja.

NI ISHARA YA KUKUONDOA HOFU JUU YA JAMBO ULILO LIFANYA AU LILILO KUTOKEA AMBALO LIMEKUFANYA UWE NA HOFU KUBWA SANA KATIKA MAISHA YAKO.
UNAPEWA ONYO USIRUDIANE NA MTU ULIE KUWA UMEACHANA NAE.
NI ISHARA KWAMBA MARADHI YA KICHAWI YALIYO KUWA YANAKUSUMBUA YAMEPONA.
NI ISHARA KUWA NYOTA YAKO ILIYO KUWA IMEIBIWA AU KUCHAFULIWA SASA IMERUDISHWA.
UNA TAHADHARISHWA KUTOWEKEZA PESA ZAKO KWENYE BIASHARA MPYA AMBAYO UNATAKA KUIFANYA.
NI ISHARA KWAMBA MPANGO UNAO TAKA KUUFANYA UTA KUSABABISHIA HASARA KUBWA SANA NA UTAKURUDISHA NYUMA SANA.

KWA MTU ALIE BWETEKA NA KAZI AU SHUGHULI ANAYO IFANYA.

Anaweza kuota ndoto kama ishara kwamba kubweteka/kuridhika kwake kunamkwamisha na kumrudisha nyuma kimaisha na kimaendeleo
NI ISHARA KWAMBA MUNGU AMEKUFANYIA/ATAKUFANYIA WEPESI KWENYE JAMBO UNALO MUOMBA
NI ISHARA KWAMBA TABIA YAKO YA UZINZI NA UASHERATI INAKURUDISHA NYUMA KIMAENDELEO
NI ISHARA KWAMBA KUNA WATU WANA IBA MALI ZAKO AU MALI ZAKO ZINA TEKETEA.
KWA MTU ALIYE LISHWA LIMBWATA KWA LENGO LA KUCHUNWA PESA NA MALI ZAKE : Anaweza kuwa anaota ndoto amerudi shuleni au utotoni ikiwa ni ishara ya kwamba anarudishwa nyuma kimaisha na mtu ambae amemlisha limbwata la mapenzi.
Tafsiri zipo nyingi sana lakini kwa leo hizi zinatosha.
Mimi nilikuwa naota ndoto nipo shule ya msingi, baadae hizo ndoto zikakoma, kisha nikaanza kuota ndoto za chuo kikuu kila nikilala.

Hii inamaanisha nini?
 
Chuo kikuu katika ndoto​

Ndoto kuhusu chuo kikuu inaweza kuwa ishara ya kujifunza kubwa, ukuaji na upanuzi.
Kwa ujumla, hii inaashiria maendeleo ya kitaaluma.
Inaweza pia kuwakilisha usasa, uboreshaji, na uvumbuzi pamoja na unyenyekevu na ulinganifu.
Kusudi la ndoto hii ni kukuarifu kuwa makini na kujifunza kutokana na kile kinachoendelea katika maisha yako.
Hii inaweza kuwa dokezo kwamba unahitaji kuendelea na kutunza mahusiano yako.
Hatimaye, ndoto inaweza kupendekeza kwamba unahitaji kukuza na kuendeleza ujuzi na uwezo mpya ili kukusaidia kufikia malengo yako.

Chuo kikuu katika ndoto na Ibn Sirin
Wengi wetu tunaweza kuota kuhusu chuo kikuu, na katika Uislamu tafsiri sio tofauti.
Kulingana na Ibn Sirin, mkalimani mashuhuri wa ndoto wa Saudia, ndoto kuhusu chuo kikuu inaweza kuonekana kama ishara ya kifo cha watu wakuu.
Katika tafsiri yake, inaweza pia kumaanisha kuwa mtu anayeota ndoto yuko kwenye njia ya maarifa, na kwamba ana uwezo wa kufikia mambo makubwa.
Ibn Sirin pia anapendekeza kwamba hii inaweza kuwa dalili ya maendeleo katika masomo
 
Ahsante sana
 
UKiota ndani ya ndoto ,ukashtuka kumbe naota wakati tena uko ndani ya ndoto,hii inamaanisha nini
 
Mwenzenu niliota ndoto mbaya sana sijui ina maana gani! Mwezi uliopita nilifiwa na bibi yangu mzaa mama nikasafiri kwenda mkoani kumzika. Sasa majuzi nimeota tumembeba kwenye jeneza wakati tumembeba jeneza likaanguka na mwili ukaanguka chini, yaani jeneza lilipasuka na mwili kusambaratika, kwasababu ya kuanguka vile kichwa kilikuwa kimeoza kikaachana na kiwili wili lakini kiwili wili kilikuwa hakijaoza bado. Wale watu waliokuwa wamenizunguka kwenye kubeba jeneza la bibi wakanilazimisha nile nyama ya kichwa chake, nikawa nagoma maana inanuka sanaaa lakini walinilazimisha nikaila ila nilivyoiweka tu mdomoni nikatapika sanaaaa. Hii ndoto imeniogopesha sanaa mpaka nashindwa kumweleza mke wangu wala ndugu yoyete sijui ilimaanisha nini?
 
Duh mkuu pole sana maana ndoto zingine hazielezeki kabisa zinamachungu ndani yake

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Mim niliwahi kuota nimeitwa jina langu ilikuwa mida ya saa kumi na moja kasor kwa saut nzito ila aliyeniita nilijaribu nimuone macho ayakuweza kufumbua na ile sauti iliyokuj na mwanga vikapotea ndio nikastuka
 
Mwenzenu niliota ndoto mbaya sana sijui ina maana gani! Mwezi uliopita nilifiwa na bibi yangu mzaa mama nikasafiri kwenda mkoani kumzika. Sasa majuzi nimeota tumembeba kwenye jeneza wakati tumembeba jeneza likaanguka na mwili ukaanguka chini, yaani jeneza lilipasuka na mwili kusambaratika, kwasababu ya kuanguka vile kichwa kilikuwa kimeoza kikaachana na kiwili wili lakini kiwili wili kilikuwa hakijaoza bado. Wale watu waliokuwa wamenizunguka kwenye kubeba jeneza la bibi wakanilazimisha nile nyama ya kichwa chake, nikawa nagoma maana inanuka sanaaa lakini walinilazimisha nikaila ila nilivyoiweka tu mdomoni nikatapika sanaaaa. Hii ndoto imeniogopesha sanaa mpaka nashindwa kumweleza mke wangu wala ndugu yoyete sijui ilimaanisha nini?
Herbalist Dr MziziMkavu
 
NDOTO HUJA KUTOKANA NA SHUGHULI NYINGI ZA MCHA.

UNACHOKIWAZA SANAAAAA MCHANA
NDICHO UTAKIOTA USIKU.

MAADUI HAWA WANAZIDI KUJA KWA KASI SANA.

UMASIKINI.
UJINGA.
MARADHI.

WAJINGA NDIO WALIWAO.
 
Back
Top Bottom