Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

Umeandika vichekesho, usiombe kuvamiwa na wezi hayo mafuta ya kula utajisahau unywe kama kahawa.
Wanakuwa wamejipanga unapigwa ambush hatari hiyo ndoo ya upupu hutaweza hata kuinyanyua.
Mtambo wa asili ni huu hapa ni zaidi ya S500 au irone dome
View attachment 3245119
Wakiingia ndani tu ni wewe unaamua wapigane wenyewe kwa wenyewe au wasioune mlango wa kutokea.
Hamna kitu kama hicho mkuu.

Kikubwa ni kuwa jasiri. Kwenye situations kama hizo adrenaline huwa inafanya kazi yake
 
Ungesema njia za kujilinda kibayolojia na kiteknolojia hapo ungetisha sana maana njia za kujikinga bila kutumia silaha za hatari, kwa kibayolojia na kiteknolojia zipo nyingi moja wapo ni hizi:-
🔹 Mimea ya kuzuia wezi – Mimea yenye miiba kama cactus au bougainvillea inaweza kusaidia. Hii ni kibaolojia
🔹 Mbwa wa ulinzi – Hii pia ni Kibaolojia.
🔹 Mfumo wa taa za sensor – Wezi wengi huogopa mwanga mkali wa ghafla. Hii ni kiteknolojia
🔹 Alarm au kamera za usalama – Inasaidia kugundua na kuzuia mapema. Hii pia ni kiteknolojia
 
Unaongea kama huwa wanapiga hodi au kutoa taarifa kwamba wanakuja kuvamia.
Kumbuka kila mwizi au kibaka anaongozwa na jini roho ya wizi ndio imuongozayo na imlindayo kwa sababu kibaka mwizi jambazi ameingia mkataba nao.
Hakuna mwizi kibaka asiye mchawi
 
Asante sana mkuu
 
Watajua wao mkuu
 
1. Mafuta ya kula :

Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi.

Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao salimika watatawanyika. Kama yupo mmoja basi atakufa hapo hapo au dead on arrival to the hospital.

2. Upupu : Weka upupu kwenye ndoo ya maji. Ukiwa na ndoo zaidi ya moja itakuwa poa zaidi. Upupu Uwe mwingi kwa kadri iwezekanavyo. Hifadhi ndoo zako za maji sehemu salama ambayo itakuwa mbali na watoto.

Usiku wakivunja or whatever wewe wamwagie huo upupu wote watatupa marungu na visu mapanga yao chini wakiugulia mateso ya upupu huo na obviously they will die ndani ya muda mfupi sana kwa sababu huo upupu utaingia hadi mdomoni so utakuwa unawawasha hadi kwenye utumbo.

Na kama una silaha zote mbili yani upupu na mafuta ya moto wakati wana gaa gaa chini wamwagie mafuta ya moto, aim kwenye USO.

3. Body spray ya usingizi hii siijui naisikia japo naitafuta sana mwenye nayo afunguke hapa.

Weka na wewe orodha zako
Tanganyika arms wanauza spray pilipili
 
😃, Duuu wee jamaa katili sanaa aiseee
 
Kibaka anaweza zuiliwa kwa njia za kitechologia au za Kiimani tu zingine ni bahati nasibu.
Kibaka ni roho na sio mwili.
 
Muhimu sana
 
Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    12.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom