Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
- Thread starter
-
- #21
Wewe ni kibaka nini?Kila nikisoma maneno matatu narudi juu kuangalia ID yako, kuna muda nilidhani niko usingizini naota lakini nikagundua kuwa siko usingizini.
Anyway Monetary doctor realMamy Demi njooni mkashuhudie vituko uswahilini.
Hamna kitu kama hicho mkuu.Umeandika vichekesho, usiombe kuvamiwa na wezi hayo mafuta ya kula utajisahau unywe kama kahawa.
Wanakuwa wamejipanga unapigwa ambush hatari hiyo ndoo ya upupu hutaweza hata kuinyanyua.
Mtambo wa asili ni huu hapa ni zaidi ya S500 au irone dome
View attachment 3245119
Wakiingia ndani tu ni wewe unaamua wapigane wenyewe kwa wenyewe au wasioune mlango wa kutokea.
Leo sredi yako imenichekesha mnoWewe ni kibaka nini?
Asante sana mkuuUngesema njia za kujilinda kibayolojia na kiteknolojia hapo ungetisha sana maana njia za kujikinga bila kutumia silaha za hatari, kwa kibayolojia na kiteknolojia zipo nyingi moja wapo ni hizi:-
🔹 Mimea ya kuzuia wezi – Mimea yenye miiba kama cactus au bougainvillea inaweza kusaidia. Hii ni kibaolojia
🔹 Mbwa wa ulinzi – Hii pia ni Kibaolojia.
🔹 Mfumo wa taa za sensor – Wezi wengi huogopa mwanga mkali wa ghafla. Hii ni kiteknolojia
🔹 Alarm au kamera za usalama – Inasaidia kugundua na kuzuia mapema. Hii pia ni kiteknolojia
Hakuna kuacha unachemsha kila sikuHiyo namba 3 ndio nzuri. Maana utachemsha mafuta weee, siku umeacha ndio wahuni wanaingia
Watajua wao mkuuUnaongea kama huwa wanapiga hodi au kutoa taarifa kwamba wanakuja kuvamia.
Kumbuka kila mwizi au kibaka anaongozwa na jini roho ya wizi ndio imuongozayo na imlindayo kwa sababu kibaka mwizi jambazi ameingia mkataba nao.
Hakuna mwizi kibaka asiye mchawi
Tanganyika arms wanauza spray pilipili1. Mafuta ya kula :
Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi.
Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao salimika watatawanyika. Kama yupo mmoja basi atakufa hapo hapo au dead on arrival to the hospital.
2. Upupu : Weka upupu kwenye ndoo ya maji. Ukiwa na ndoo zaidi ya moja itakuwa poa zaidi. Upupu Uwe mwingi kwa kadri iwezekanavyo. Hifadhi ndoo zako za maji sehemu salama ambayo itakuwa mbali na watoto.
Usiku wakivunja or whatever wewe wamwagie huo upupu wote watatupa marungu na visu mapanga yao chini wakiugulia mateso ya upupu huo na obviously they will die ndani ya muda mfupi sana kwa sababu huo upupu utaingia hadi mdomoni so utakuwa unawawasha hadi kwenye utumbo.
Na kama una silaha zote mbili yani upupu na mafuta ya moto wakati wana gaa gaa chini wamwagie mafuta ya moto, aim kwenye USO.
3. Body spray ya usingizi hii siijui naisikia japo naitafuta sana mwenye nayo afunguke hapa.
Weka na wewe orodha zako
Hiyo kazi nani ataweza. Very primitiveHakuna kuacha unachemsha kila siku
Hiyo ndio sawa, ipo wapi? Utaratibu upoje?Tanganyika arms wanauza spray pilipili
😃, Duuu wee jamaa katili sanaa aiseee1. Mafuta ya kula :
Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi.
Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao salimika watatawanyika. Kama yupo mmoja basi atakufa hapo hapo au dead on arrival to the hospital.
2. Upupu : Weka upupu kwenye ndoo ya maji. Ukiwa na ndoo zaidi ya moja itakuwa poa zaidi. Upupu Uwe mwingi kwa kadri iwezekanavyo. Hifadhi ndoo zako za maji sehemu salama ambayo itakuwa mbali na watoto.
Usiku wakivunja or whatever wewe wamwagie huo upupu wote watatupa marungu na visu mapanga yao chini wakiugulia mateso ya upupu huo na obviously they will die ndani ya muda mfupi sana kwa sababu huo upupu utaingia hadi mdomoni so utakuwa unawawasha hadi kwenye utumbo.
Na kama una silaha zote mbili yani upupu na mafuta ya moto wakati wana gaa gaa chini wamwagie mafuta ya moto, aim kwenye USO.
3. Body spray ya usingizi hii siijui naisikia japo naitafuta sana mwenye nayo afunguke hapa.
Weka na wewe orodha zako
Watakusumbua sana .Hapo kwenye mafuta nimecheka sana,ukiua mtu kama wewe si mtu wa kuua ,nafsi Yako haitakaa itulie kamwe, nashauri huyo kibaka amwagiwe mguuni au kwenye tako
Kweli? Zinapatikana wapi?Njia rahisi sana tafuta mbegu za mint au AJWAIN panda hakuna mwizi wala mchawi sijui mwanga wala gagula atakae sogea kwako! Iwe mchana au Usiku