Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

Kila lenye nguvu hupita

Kila lenye uwezekano hufanyika

Kila unapo wekeza ndipo unapo vuna

Kama wamepita kwa haki ndani ya chama chao na kupewa ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa wananchi ni sawa

Ila kama wapo walio pendelewa basi watalipwa kwenye box la kura

Tuwatakie tu mapambano mema na uwakilishi wema ndani ya chama chao

Na wakipata nafasi wasitubague kwa itikadi za vyama vyetu
 
Mufindi kusini hiyo Tito kitalika rekebisha Tafadhari msitutukanie jina letu
 
Huyo John Mrema si alishindwa kura za maoni ?Chadema hapo ndo mnapoharibu. Kigamboni hamjaweka mgombea ?Au mmewaachia ACT?
Hahahahahahaa naona ume zoom wee! Haya bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…