RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Kwahio hakuna utofauti na ccm?.Hata huko ccm wapo walioshinda kura za maoni lkn watatemwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio hakuna utofauti na ccm?.Hata huko ccm wapo walioshinda kura za maoni lkn watatemwa
Kwa nn hajarudi huko, Segerea wampe alieshinda?. Tunataka utofauti na ccm sio vyama vya upinzani vifanye kama ccm muda mwingine viongozi wanakera aisee, au huyo mdada alitoa rushwa?.Hakushindwa alishinda sema jimbo ilikuwa lazima aachiwe Mbatia.
Mbatia huwa haachi kulalamika mbona alipata ubunge sasa ?
Hata Babati Mjini wamefanya ujinga mkubwa sana, Mhe Kibiki alikuwa anateswa sn na Mnyeti mpaka akanyanywa Uenyekiti wa council na kuahidiwa pesa kibao akiunga mkono juhudi fake, lakini alisimama imara mpaka mwisho, leo anaachwa anapewa tapeli wa mjini! hapa jimbo limeshaenda CCM mazima.Kwa Segerea chadema hamjatenda haki....yule dada anapambana sana aisee
Subilieni sasa maamuzi yetu sisi wajumbe wa jumla kutoka tume ya taifa ya uchaguzi (NEC). Wajumbe wa tume hawapigi kura za maoni bali za maamuzi. Segerea mpoooooo?
Mrema na huyo dada wote ni wajumbe wa kamati kuu.Kwa nn hajarudi huko, Segerea wampe alieshinda?. Tunataka utofauti na ccm sio vyama vya upinzani vifanye kama ccm muda mwingine viongozi wanakera aisee, au huyo mdada alitoa rushwa?.
Huyo Kibiki mbona hakuongoza kura za maoni ?Hata Babati Mjini wamefanya ujinga mkubwa sana, Mhe Kibiki alikuwa anateswa sn na Mnyeti mpaka akanyanywa Uenyekiti wa council na kuahidiwa pesa kibao akiunga mkono juhudi fake, lakini alisimama imara mpaka mwisho, leo anaachwa anapewa tapeli wa mjini! hapa jimbo limeshaenda CCM mazima.
Hicho ndio kitu kikubwa kinachowakoses ha kura wapinzani hawaonyeshi utofauti na wanayetaka kumtoaKwa nn hajarudi huko, Segerea wampe alieshinda?. Tunataka utofauti na ccm sio vyama vya upinzani vifanye kama ccm muda mwingine viongozi wanakera aisee, au huyo mdada alitoa rushwa?.
Kwa kweli katika hili wameniudhi sana!Kumkata mwanamke ni kosa kubwa. Tena ameshinda kwa kura za mbali.
Mrema licha ya ujumbe kamati kuu, lakini anacheo kingine kama sijasahau atakua nikatibu mwenezi wa chama, huwezi mkuu ukaongeza wabunge kwa kukata alieshinda kura za maoni bila hila, ccm huwa wanafanya hivyo na wanashindwa ingawa tume,police,wakurungez wanakua upande wao, sembuse vyama vya upinzani?. Kama mrema angekua anakubalik basi hao wajumbe wangempitisha ndani ya chama, suala kubwa hapa nikua mrema anakaa meza moja naviongozi wakuu ngazi ya taifa huku huyo dada hana nafasi hio, kwahili CDM wabadilike watu watashindwa kutoa ushirikiano wa kumnadi mgombea maana mnawaletea chaguo ambalo sio lao.Mrema na huyo dada wote ni wajumbe wa kamati kuu.
Yawezekana chama kimelenga kuongeza idadi ya wabunge zaidi kuliko hoja aliyeshinda apewe tu.
Huyo mama amegombea na viti maalumu akapita pia kwahiyo Mrema akigombea akashinda na huyo akaenda bungeni kwa viti maalumu huoni watakuwa wameongeza wabunge?Mrema licha ya ujumbe kamati kuu, lakini anacheo kingine kama sijasahau atakua nikatibu mwenezi wa chama, huwezi mkuu ukaongeza wabunge kwa kukata alieshinda kura za maoni bila hila, ccm huwa wanafanya hivyo na wanashindwa ingawa tume,police,wakurungez wanakua upande wao, sembuse vyama vya upinzani?. Kama mrema angekua anakubalik basi hao wajumbe wangempitisha ndani ya chama, suala kubwa hapa nikua mrema anakaa meza moja naviongozi wakuu ngazi ya taifa huku huyo dada hana nafasi hio, kwahili CDM wabadilike watu watashindwa kutoa ushirikiano wa kumnadi mgombea maana mnawaletea chaguo ambalo sio lao.
Rushwa kama imetembea afanyaje? mbona Mrema hakuongoza na amepitishwa?Huyo Kibiki mbona hakuongoza kura za maoni ?
CCM wameanza kuwakupigia wagombea wa chadema na kuwarubuni waunge juhudi, siku 5 tu Mara baada ya kamoeni kuanza wahombea watatu watauza utu wao kwa ccm
Una mihemko na mapovu sana, wakongwe wa kweli hawana hizo sifa.
Kwahiyo unataka kusema Gekul alihonga wajumbe wa kupiga kura ili apitishwe na wajumbe.Rushwa kama imetembea afanyaje? mbona Mrema hakuongoza na amepitishwa?
Katambi wa wapiIla kuna wakati CHADEMA nao wanazingua sana yaani hata Shinyanga mjini hawajaweka wakati Sisi tunajua aliyeongoza kura za maoni ni Mhe. Makamba. Wakituletea Katambi wakati alishaunga juhudi tunayapa ma-CCM tena! Wasituone sisi wajumbe ni Umbwa!!
Anapikwa kiaje? Angekuwa mgeni wa chama asingeweza kumshinda Mrema kwa kura zote zile. Acheni tabia za uCCM, onyesheni demokrasia ya kweli. Au mmemuonea kwa kuwa ni mdada?
Gekul ana mwogopa Kibiki ndiyo maana alicheza Thadei apite, Thadei ni mtu wa karibu sana na GekulKwahiyo unataka kusema Gekul alihonga wajumbe wa kupiga kura ili apitishwe na wajumbe.
Kwanza moja ya makosa ya hivi vyama ni kuiga mfumo wa ccm
Baada ya kura za maoni walitakiwa kuheshimu maamuzi ya wanachama na kufatilia pale kwenye malalamiko au dosari .
Kasoro hizo sanasana utaziona chadema na ccm kupitisha wagombea ambao wana influence kwenye vikao vya maamuzi na hapa sikuilenga chadema peke yake hata ccm ina tatizo hilo sana
Kama hujui siasa ni bora unyamaze
Wewe si unapiga Kampeni watu wasipige kura? Sasa mbona unashabikia list ya wapigiwa kura