Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

Hakushindwa alishinda sema jimbo ilikuwa lazima aachiwe Mbatia.

Mbatia huwa haachi kulalamika mbona alipata ubunge sasa ?
Kwa nn hajarudi huko, Segerea wampe alieshinda?. Tunataka utofauti na ccm sio vyama vya upinzani vifanye kama ccm muda mwingine viongozi wanakera aisee, au huyo mdada alitoa rushwa?.
 
Kwa Segerea chadema hamjatenda haki....yule dada anapambana sana aisee
Hata Babati Mjini wamefanya ujinga mkubwa sana, Mhe Kibiki alikuwa anateswa sn na Mnyeti mpaka akanyanywa Uenyekiti wa council na kuahidiwa pesa kibao akiunga mkono juhudi fake, lakini alisimama imara mpaka mwisho, leo anaachwa anapewa tapeli wa mjini! hapa jimbo limeshaenda CCM mazima.
 
Kwa nn hajarudi huko, Segerea wampe alieshinda?. Tunataka utofauti na ccm sio vyama vya upinzani vifanye kama ccm muda mwingine viongozi wanakera aisee, au huyo mdada alitoa rushwa?.
Mrema na huyo dada wote ni wajumbe wa kamati kuu.

Yawezekana chama kimelenga kuongeza idadi ya wabunge zaidi kuliko hoja aliyeshinda apewe tu.
 
Huyo Kibiki mbona hakuongoza kura za maoni ?
 
Kwa nn hajarudi huko, Segerea wampe alieshinda?. Tunataka utofauti na ccm sio vyama vya upinzani vifanye kama ccm muda mwingine viongozi wanakera aisee, au huyo mdada alitoa rushwa?.
Hicho ndio kitu kikubwa kinachowakoses ha kura wapinzani hawaonyeshi utofauti na wanayetaka kumtoa
 
Mrema na huyo dada wote ni wajumbe wa kamati kuu.

Yawezekana chama kimelenga kuongeza idadi ya wabunge zaidi kuliko hoja aliyeshinda apewe tu.
Mrema licha ya ujumbe kamati kuu, lakini anacheo kingine kama sijasahau atakua nikatibu mwenezi wa chama, huwezi mkuu ukaongeza wabunge kwa kukata alieshinda kura za maoni bila hila, ccm huwa wanafanya hivyo na wanashindwa ingawa tume,police,wakurungez wanakua upande wao, sembuse vyama vya upinzani?. Kama mrema angekua anakubalik basi hao wajumbe wangempitisha ndani ya chama, suala kubwa hapa nikua mrema anakaa meza moja naviongozi wakuu ngazi ya taifa huku huyo dada hana nafasi hio, kwahili CDM wabadilike watu watashindwa kutoa ushirikiano wa kumnadi mgombea maana mnawaletea chaguo ambalo sio lao.
 
Huyo mama amegombea na viti maalumu akapita pia kwahiyo Mrema akigombea akashinda na huyo akaenda bungeni kwa viti maalumu huoni watakuwa wameongeza wabunge?

Huyo mama pia ni mjumbe wa kamati kuu lakini ni karibu mwenezi BAWACHA
 
Ila kuna wakati CHADEMA nao wanazingua sana yaani hata Shinyanga mjini hawajaweka wakati Sisi tunajua aliyeongoza kura za maoni ni Mhe. Makamba. Wakituletea Katambi wakati alishaunga juhudi tunayapa ma-CCM tena! Wasituone sisi wajumbe ni Umbwa!!
Katambi wa wapi
 
Anapikwa kiaje? Angekuwa mgeni wa chama asingeweza kumshinda Mrema kwa kura zote zile. Acheni tabia za uCCM, onyesheni demokrasia ya kweli. Au mmemuonea kwa kuwa ni mdada?

Mipango yao huwezi kuijua huyo unaemtetea anafahamika na chama kuliko unvyomjua
 
Kwanza moja ya makosa ya hivi vyama ni kuiga mfumo wa ccm
Baada ya kura za maoni walitakiwa kuheshimu maamuzi ya wanachama na kufatilia pale kwenye malalamiko au dosari .
Kasoro hizo sanasana utaziona chadema na ccm kupitisha wagombea ambao wana influence kwenye vikao vya maamuzi na hapa sikuilenga chadema peke yake hata ccm ina tatizo hilo sana

Hatua hizo hazipo cdm na ccm pekee zipo ktk vyama vyote kwa kuwa tu vyama vingine havina ushinda na uelewe wataalam wa mambo ya siasa walifikiri kwa kina mpaka wakaweka hicho kipengele kina faida kubwa kwa wale mamluki
 
Wewe si unapiga Kampeni watu wasipige kura? Sasa mbona unashabikia list ya wapigiwa kura

Lisu game changer yupo. Na bado sio kwamba tunaimani na hiyo tume ya wahuni. Ila tuna mtu anayeweza kuhamasisha kudai haki yetu.
 
Back
Top Bottom