Orodha ya Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa Tanzania "TISS" Tangu uhuru

Haya matamanio uliyonayo, tayari ni disqualification.

Wanaopata na wanaoelewa hata hawatamani kwenda zaidi ni shida ya ajira tu.

Ila mwenye uelewa kabisa wa mambo hawezi kutamani kujiunga na hiyo kazi, ni wachache watanielewa!
Acha kuwatisha vijana hyo ni kazi kama zilivyo kazi nyingine. Isipokuwa tu labda jinsi inavyofanywa na mchakato wake wa kupata ajira ndio inaowafanya watu watamani lakini ni kazi tu kama kazi nyingine.
 
Huyu nadhani aliondolewa ili alipe kodi kwanza kwa sababu ilikuwa haiwezekani akalipa kodi akiwa bado ana cheo hicho alichokuwa nacho. Baada ya kulipa kodi angeweza kurudishiwa cheo chake tena
 
Nani kasema si kazi kama kazi nyingine, ukiniuliza kazi zingine ni zipi sitamani mwanangu afanye
Acha kuwatisha vijana hyo ni kazi kama zilivyo kazi nyingine. Isipokuwa tu labda jinsi inavyofanywa na mchakato wake wa kupata ajira ndio inaowafanya watu watamani lakini ni kazi tu kama kazi nyingine.
 
Sikuelew unamaanisha nn mkuu
Kuna jamaa anatumia avatar yako,halafu anasema anapenda sana kazi ya uafisa kipenyo sasa nilidhani niwewe mzee wa medani.Ndio maana niliuliza kwamba umeichoka kz yako ya awali(ya kulinda katiba).kumbe si wewe.
 
Unavomwambia kwamba kutaman tayar ni disqualification ulikuwa una maana gani?
Tatizo lenu mnajifanya wajuaji ikiwa hamjui lolote..kaz kujazana ujinga tu huko mitaani
Wewe jamaa una mkwara..
 
Wewe jamaa una mkwara..
Mkwara anao huyo aliemwambia mwenzake amedisqualify ukiwa hata yeye nikimuuliza aweke vigezo vya huyo kazi hana isipokuwa rumors tu za huko vijiweni wanakojazana ujinga.
Nn; mtu yoyote ilmrad tu ni mtanzania anaweza kufanya hyo kazi.
 
Hv na jack zokka Ni Nani au ajawai kutumika tiss
 
Haya matamanio uliyonayo, tayari ni disqualification.

Wanaopata na wanaoelewa hata hawatamani kwenda zaidi ni shida ya ajira tu.

Ila mwenye uelewa kabisa wa mambo hawezi kutamani kujiunga na hiyo kazi, ni wachache watanielewa!
Acha uongo wewe
 
Acha kuwatisha vijana hyo ni kazi kama zilivyo kazi nyingine. Isipokuwa tu labda jinsi inavyofanywa na mchakato wake wa kupata ajira ndio inaowafanya watu watamani lakini ni kazi tu kama kazi nyingine.
Bora umemwambia ukweli waache kujazana ujinga
 
Mkwara anao huyo aliemwambia mwenzake amedisqualify ukiwa hata yeye nikimuuliza aweke vigezo vya huyo kazi hana isipokuwa rumors tu za huko vijiweni wanakojazana ujinga.
Nn; mtu yoyote ilmrad tu ni mtanzania anaweza kufanya hyo kazi.
Vizuri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…