Orodha ya Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa Tanzania "TISS" Tangu uhuru

Classified!
Haujafika wakati iwe released kwa public? Au hapa kwetu utaratubu kama huo haupo?!?! Nasikia kule US baada ya miaka kadhaa baadhi ya Secrets huwa open to public.
 
Who is him?
Marehemu Balozi Dr. Augustine P. Mahiga.

Kwenye kesi ya uhaini iliyofunguliwa watu wiotaka kumpindua Nyerere urais miaka ya mwanzo ya themanini aliitwa "Mr. X" kama shahidi wa serikali.
 
Marehemu Balozi Dr. Augustine P. Mahiga.

Kwenye kesi ya uhaini iliyofunguliwa watu wiotaka kumpindua Nyerere urais miaka ya mwanzo ya themanini aliitwa "Mr. X" kama shahidi wa serikali.
kumbe sio Mabere Marando?
 
Hatujawahi kuwa na Usalama huru - usalama unaojali maslahi ya Taifa na si maslahi ya watawala na chama chao kilichoko madarakani.
 
Tupeni details kuhusu hiyo ndege ya makomando wa Libya kuingia 18 za mchonga wadau,
Walipojikuta wapo enemy land waligutukaje

Fungukeni sie wengine ndio kwanza tumejaliwa juzi na hayo mambo tunasikiaga juu juu tu!
😁😁😁
 
Mchungaji Kipilimba akateuliwa kuwa balozi zimbabwe na kanisa lake mke ndiye mchungaji, Kipilimba ni TISS toka anasoma, akaenda BOT, CRDB na NIDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…