Orodha ya Wakuu wa Mikoa ambao wananchi wanateseka na kero na hawasikilizi kero za wananchi

Orodha ya Wakuu wa Mikoa ambao wananchi wanateseka na kero na hawasikilizi kero za wananchi

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Wananchi wanateseka na hawana mtu wa kumlilia shida walizo nazo.

1. Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Kero ni Barabara, maji, umeme, maeneo mengi hayana vituo vya polisi.

2. Mkuu wa mkoa wa Manyara. Kero Barbara, maji na umeme.
 
Back
Top Bottom