peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 May 27, 2024 #1 Wananchi wanateseka na hawana mtu wa kumlilia shida walizo nazo. 1. Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Kero ni Barabara, maji, umeme, maeneo mengi hayana vituo vya polisi. 2. Mkuu wa mkoa wa Manyara. Kero Barbara, maji na umeme.
Wananchi wanateseka na hawana mtu wa kumlilia shida walizo nazo. 1. Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Kero ni Barabara, maji, umeme, maeneo mengi hayana vituo vya polisi. 2. Mkuu wa mkoa wa Manyara. Kero Barbara, maji na umeme.