Digoxin JR Member Joined Jul 1, 2014 Posts 83 Reaction score 14 Apr 27, 2015 #41 walimu wa sanaa tuwen na subra tusubr chaguo la pili
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Apr 27, 2015 #43 Ila nimependa namna walivyowadirect watu kwenye shule kabisa itapunguza rushwa na sintofahamu kubwa.
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,170 Reaction score 7,665 Apr 27, 2015 #44 Certificate tunaangalia wapi
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,170 Reaction score 7,665 Apr 27, 2015 #45 Certficate tunaangalia wapi
M Mbuzi Mzee JF-Expert Member Joined Feb 5, 2015 Posts 348 Reaction score 82 Apr 27, 2015 #46 Ingia sasa hivi
T Ti Go JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 985 Reaction score 1,004 Apr 27, 2015 #48 Wangekuwa waungwana wangetoa sababu za kuchelewa kutoa majibu kama walivyahidi. Wanaipaka matope serikali hii
Wangekuwa waungwana wangetoa sababu za kuchelewa kutoa majibu kama walivyahidi. Wanaipaka matope serikali hii
Holili Member Joined Apr 22, 2012 Posts 27 Reaction score 6 Apr 27, 2015 #49 Walimu wa stashahada na shahada waliopangwa ni wa sayansi tu na wamepangiwa hadi shule. Walimu wa cheti, hakuna aliyepangwa kilimanjaro.
Walimu wa stashahada na shahada waliopangwa ni wa sayansi tu na wamepangiwa hadi shule. Walimu wa cheti, hakuna aliyepangwa kilimanjaro.
K kitandilikunja JF-Expert Member Joined Mar 29, 2015 Posts 229 Reaction score 37 Apr 27, 2015 #51 Weka link
Mwanyoro JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 635 Reaction score 457 Apr 27, 2015 #52 Tayari na ya sanaa na biashara wameweka
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,170 Reaction score 7,665 Apr 27, 2015 #53 Habarini naona humu mnaongelea kwa walimu ngazi ya diploma na degree sasa sisi wa certificate vipi? Naombeni majina sababu seva za tamisemi naona hazijiwezi! Website yao inazingua mwenye majina atupie hapa plz
Habarini naona humu mnaongelea kwa walimu ngazi ya diploma na degree sasa sisi wa certificate vipi? Naombeni majina sababu seva za tamisemi naona hazijiwezi! Website yao inazingua mwenye majina atupie hapa plz
N'gwanantugwa JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 347 Reaction score 345 Apr 27, 2015 #54 Weka link acha mboyoyo
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,170 Reaction score 7,665 Apr 27, 2015 #55 Muwe mnakamilisha taarifa zenu mnaboa sana angalia angalia angalia wapi sasa
N nyamwenga JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 660 Reaction score 187 Apr 27, 2015 #56 danya said: Muwe mnakamilisha taarifa zenu mnaboa sana angalia angalia angalia wapi sasa Click to expand... tamisemi mkuu!
danya said: Muwe mnakamilisha taarifa zenu mnaboa sana angalia angalia angalia wapi sasa Click to expand... tamisemi mkuu!
Mango833 JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 4,407 Reaction score 20,572 Apr 27, 2015 #57 WWW.pmorlg.go.tz
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,170 Reaction score 7,665 Apr 27, 2015 #58 nyamwenga said: tamisemi mkuu! Click to expand... Mbona mm inanizingua
M millkaites Member Joined Jan 30, 2015 Posts 42 Reaction score 4 Apr 27, 2015 #59 Tafadhali nope link maana nina bp plz sipo saw a Mimi ni mwl. art diploma
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,054 Reaction score 5,511 Apr 27, 2015 #60 danya said: Muwe mnakamilisha taarifa zenu mnaboa sana angalia angalia angalia wapi sasa Click to expand... Na wewe uwe unasoma kwa makini, kwani kwenye heading hujaambiwa uingie TAMISEMI?.
danya said: Muwe mnakamilisha taarifa zenu mnaboa sana angalia angalia angalia wapi sasa Click to expand... Na wewe uwe unasoma kwa makini, kwani kwenye heading hujaambiwa uingie TAMISEMI?.