Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

Ila nimependa namna walivyowadirect watu kwenye shule kabisa itapunguza rushwa na sintofahamu kubwa.
 
Wangekuwa waungwana wangetoa sababu za kuchelewa kutoa majibu kama walivyahidi. Wanaipaka matope serikali hii
 
Walimu wa stashahada na shahada waliopangwa ni wa sayansi tu na wamepangiwa hadi shule. Walimu wa cheti, hakuna aliyepangwa kilimanjaro.
 
Habarini naona humu mnaongelea kwa walimu ngazi ya diploma na degree sasa sisi wa certificate vipi? Naombeni majina sababu seva za tamisemi naona hazijiwezi! Website yao inazingua mwenye majina atupie hapa plz
 
Muwe mnakamilisha taarifa zenu mnaboa sana angalia angalia angalia wapi sasa

Na wewe uwe unasoma kwa makini, kwani kwenye heading hujaambiwa uingie TAMISEMI?.
 
Back
Top Bottom