Hivi huyu dada alitumia akili kuzaa na huyo mtu kweli,, yani alijichanganya kila akihojiwa anamkana kinamna flani hivi, jamaa bado ana ulimbukeni sana, watu tusio na status ndo tunapata wanaume wa maana ila wao wanahangaishwa tu hadi huruma yani,
Unavyoandika kama una uhakika Jokate Kazaa na Vunja Bei umekomaa kabisa na story za vijiweni. Anawapatia sana nyinyi wambea kawapoteza kawavuruga hamtakaa mumjue baba wa Mtoto mnabahatisha