Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Vunja Vunja ndiyo amefurahi ili aendelee kuvunjavunja wengine bila wasiwasi kabisa. Ukiona mwanaume mna date hata siku Moja hakutambulishi anakuna tu kama Yuda Iskarioti ujue huna thamani kwake na kuwa msururu ni mrefu hivyo hataki kuharibu vitumbua vyake kwa mchanga.
Hivi huyu dada alitumia akili kuzaa na huyo mtu kweli,, yani alijichanganya kila akihojiwa anamkana kinamna flani hivi, jamaa bado ana ulimbukeni sana, watu tusio na status ndo tunapata wanaume wa maana ila wao wanahangaishwa tu hadi huruma yani,
 
"Acha upuuzi CCM ni moja. Hakuna CCM ya Magu CCM ya Samia wala ya Mzee wa Msoga ccm ni moja" Alisikika kada mmoja wa ccm akinena ambae anakaa mtaa wa kajiungeni
Hahaha mkuu. CCM bila makundi haiendi kabisa. Tena kuna CCM Asili na Masalia na sasa hivi kuna CCM wakatwa mikia. Muulize Sumaye na Lowasa wanajua vyema sasa hii.
 
Sijaelewa, unamaanisha nini kusema "kama mgeni"?
Hizo ndiyo lugha za code inabidi ujifunze kuzifungua. Unapoingia nyumba ya mtu kwa mara ya Kwanza wewe ni nani? Hata leo tuna wageni 37 huko Wilayani. Usiniulize tena kufafanua maana hapa nimevunja miiko ya ufafanuzi. Hahahaha!!!
 
Hivi huyu dada alitumia akili kuzaa na huyo mtu kweli,, yani alijichanganya kila akihojiwa anamkana kinamna flani hivi, jamaa bado ana ulimbukeni sana, watu tusio na status ndo tunapata wanaume wa maana ila wao wanahangaishwa tu hadi huruma yani,
Vichwa maji wawili walikutana
 
Vichwa maji wawili walikutana
Once a kengee always a Kengeee... Yani jokate na uheshimiwa wake niliju atasonga mbele ilaaa karudi kwenye Circle ya kina wemaa sijui kina nana fwakeni kabisaa sidhani kama hata hiyo nafasi anahistahiliii mkuu wa wilaya unazini na mume wa mtu mpaka mnapata mtoto aisee pepo la Ngono la bongo movie baya sanaa now naelewa why HAWAPEWI NAFASIII KWENYE UONGOZI.
 
Nionavyo mimi ni kuwa Jokate ndo analazimisha uhusiano, maana amekuwa akimtagi sana Vunjabei, mf kwenye mtoto Vunjabei alimpa hongera, Jokate akasema usijikaushe....

Amekuwa akikanwa kwenye media ila dada yumo.

Mwisho utasikia akiomba matunzo
😂😂😂ana hamu ya kuwa mke ndo nachokiona lakini aliyakanyaga tangu mwanzo, vunja bei ni muhuni na hana huruma hata kwa kumtizama tu,, celebrity wa tz vichwa maji kabisa, mume wa mtu, limbukeni, muhuni yote hayo hakuyaona pamoja na exposure yote aliyonayo, ingekuwa mahusiano yake ya kwanza tungeelewa,
 
Back
Top Bottom