Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Kule alipokuwepo lazima uwe malaya tu, hata ingekuwa mimi



Kwa asie na maono lakini kwenye mwenye maono atajizuia tu ili afike anakotaka.

Ulafi ni hatari !

Kila jambo lapaswa kufanyika Kwa kiasi.

Hata kula sana chakula ni shida.
 
Afadhali maana Kinondoni alishindwa kutatua migogoro ya ardhi kule Kata ya Mambwepande .

Alikuwa anauma maneno tu bila kuwa na maamuzi ya haki hata kama ni magumu kufanyika.
RC Makala anajitahidi lakini anawekewa vikwazo na mbunge na hao dhaifu kina DC
Migogoro ya Ardhi inaishaga kwani Mkuu,mimi nimeishi Wilaya ya Kinondoni miaka 20,nasikia mara Wazo(Mapanga shaa),mara mivumoni(huku mabaunsa walishwai kuchinjwa) na sasa Mabwepande na Bunju.Siyo kwamba hawawezi ila hayo maeneo ni ya wakubwa sasa mtu kama Makala anajilambia asali tu kwa kuwaondoa wanyonge na kyambatana na matajiri!
Na Kinondoni ni Wilaya ambayo kijiografia ipo eneo Tambarare by 90%,sasa nani aende Kimara Bonyokwa uko!
 
Vyeo vimekuwa kama zawadi. Hatuna chujio la viongozi makini. Kuteua na kutengua kila wakati ni dalili ya wazi. Nimewahi kuwa kwenye vikao vya ndani na wakuu wa wilaya na wakurugenzi tofauti katika nyakati tofauti yaani mnatoka kikaoni hadi mnaulizana hivi ni mteuliwa wa rais au mwananchi wa kawaida.
Zifuatazo ni baadhi ya tabia zao;
1) kujikweza
2) hawazingatii muda kabisa vikaoni na hawataki mawazo mapya.
3) kuzungumza mambo ya chama na kusifia mabosi badala ya utekelezaji wa mipango ya maendeleo.
4) wengi ni wasomi wa degree, masters, PhD lakini hawana content vichwani yaani mtu anaongea hadi unashangaa katokea wapi
6) wanapenda vitisho na kulazimisha utekelezaji wa mambo yaliyo kisiasa zaidi.
7) Wengi hawana ushirikiano na watu wa chini.
8) migogoro kati ya mkurugenzi, das, na mkuu wa wilaya yaani kila mtu anataka ukuu kwa wenzie.
9) alafu wengi wanaopangiwa post hizo huwa hawaendi na familia zao yaani huko wilayani maadili yao hadi unajiuliza mara mbili.
NB: badala ya serikali kutegemea viongozi walioandaliwa na chama cha siasa ijaribu kutafuta namna nyingine ya kuandaa viongozi watakaokuwa na sifa watakaohudumia watu wote bila uchama. Pia itazame watumishi wa serikali waliofanya vizuri kwenye maeneo ya kazi ndio wawe madisii, wakurugenzi, na vyeo vinginevyo hii italeta hata motisha kwenye utumishi wa umma kuwa kumbe kuna promotion na utambuzi wa mkuu wa nchi la sivyo chama kitaendeleea kukaa madarakani kikiwa na serikali dhaifu.
Umenikumbusha mambo ya Chuo cha Uongozi Mzumbe, sijui kwa nini waliamua kukibadili na kuwa Chuo Kikuu ambacho hakizingatii masuala ya Uongozi.
 
Jokate je??? Wapo vilaza wengi tu, ni vile nchi imekosa muelekeo hii. Watu wa hovyo hovyo ndio wapo kwenye kazi za maana za kuleta maendeleo ya nchi. Kujuana sana na siasa kwa kwenda mbele. Nchi ngumu sana hii.
Hivi huyu Jokate amebakizwa kwa lipi? Huyu alikuwa active kipindi cha Magu na ni team Magu wa ukweli. Ukiangalia utendaji wake kwa sasa ni Bora liende na hayuko interested kabisa. Kaamua kujizalia mtoto wangemuacha tu alee mwanaye maana kwa sasa ndiyo muhimu. Narudia hayuko kivile kusaidia awamu ya Sita.
 
Hivi huyu Jokate amebakizwa kwa lipi? Huyu alikuwa active kipindi cha Magu na ni team Magu wa ukweli. Ukiangalia utendaji wake kwa sasa ni Bora liende na hayuko interested kabisa. Kaamua kujizalia mtoto wangemuacha tu alee mwanaye maana kwa sasa ndiyo muhimu. Narudia hayuko kivile kusaidia awamu ya Sita.
Ila nchi kama Tz haiendelei kutokana na mambo mengi sana, pamoja na raslimali za nchi kutumiwa vibaya na ufisadi, ila pia raslimali watu nayo haitumiki vizuri. Posts za kazi za maana zimejaa wajinga wajinga vilaza tu walioingizwa kwa kindugu/ngono/rushwa na wale maskini wenye elimu yao wapo mitaani wanasota. Nchi ngumu sana hii.
 
Hivi huyu Jokate amebakizwa kwa lipi? Huyu alikuwa active kipindi cha Magu na ni team Magu wa ukweli. Ukiangalia utendaji wake kwa sasa ni Bora liende na hayuko interested kabisa. Kaamua kujizalia mtoto wangemuacha tu alee mwanaye maana kwa sasa ndiyo muhimu. Narudia hayuko kivile kusaidia awamu ya Sita.
"Acha upuuzi CCM ni moja. Hakuna CCM ya Magu CCM ya Samia wala ya Mzee wa Msoga ccm ni moja" Alisikika kada mmoja wa ccm akinena ambae anakaa mtaa wa kajiungeni
 
Back
Top Bottom