Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Game changer and Id changer. Ila wewe jamaa ugonjwa ulio nao alie kuroga sio wa nchi hii..YANI kabisa una panick kwa majibizano with fake ids? Are I sure ur not sick? Mkuu hospitali zipo
Funza waliojazana Ubongoni mwako wamekuharibu Akili ndiyo maana umekuwa Mwehu hivyo.
 
Gondwe ndiyo amepelekwa Bahi


Afadhali maana Kinondoni alishindwa kutatua migogoro ya ardhi kule Kata ya Mambwepande .

Alikuwa anauma maneno tu bila kuwa na maamuzi ya haki hata kama ni magumu kufanyika.
RC Makala anajitahidi lakini anawekewa vikwazo na mbunge na hao dhaifu kina DC
 
Back
Top Bottom