Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Muna wivu sana mtaaendelea kushiba dona hivyo hivyo acheni wivu
Mie nina wivu wa nini bro. Ama ume quote post yngukimakosa kwa kutoju matumizi ya jukwaa! Nilikuwa namfafanulia aliyetaka kujua huyo DC alipo. By the way dona ni chakula pendwa sana. Pole
 
Nilikuwepo ilikuwa aibu
Ila hii nchi bana utaratibu wa kupata viongozi ni wa hovyo sana, kipindi flani nikiwa Mzumbe University- Morogoro tukaletewa mgeni rasmi mmoja hivi mdada ilikua ni siku ya 'ujasiriamali' pale chuoni. Mgeni rasmi alikua ni mkuu wa wilaya ya Mvomero ee bana yule mkuu wa wilaya sijui aliokotwa wapi akapachikwa kwenye hicho cheo. Uchangiaji wa kale kadem ilikua ni aibu kumsikiliza yani tangu siku hiyo sina imani na mwana ccm yeyote hata huyo mnamuita mama.
 
Back
Top Bottom