Orodha ya waliojaribu kumkwamisha 'chuma' Magufuli na wakaangukia pua!

Majinga mengi yaliangukia pua Hadi yalienda kutubu dhambi mbele yake kweli jpm kiboko wa majizi waliojificha kuwa waminifu
We mnyarwandaaaaa keleleeeeeee

Ova
 

Mkuu hapo kwa kigogo2014 na Zitto huyo ni mtu mmoja! Zitto ndiye kigogo kwa hiyo hapo umemuandika Zitto mara mbili na alibainika ni yeye baada ya kuanza kumzushia Rais Kifo
 
Mbona ndani ya CCM ndio wengi fanya utafiti acha ndoto za kuota huku unatembea
 
USA imejiandaa kumkwamisha 2020,Tuone Kama itaangukia pua
LOL hii USA inayotuita Tanzania ni nchi yenye uwezo mkubwa? Washindwe kutufanya lolote kwenye Barrick waingilie kwenye uchaguzi wetu?

Hakuna uchaguzi mwepesi kwenye history ya nchi hii kama wa 2020
 

Yawezekana ukawa na Hoja ya Msingi ila naomba nikuulize tu Mkuu hivi ' Logically ' inawezekana hawa Watajwa wako wote hapa wakawa hawana la maana ambalo labda wamekuwa wakilisema au hata kulishauri Kwake Mheshimiwa Rais wetu Dkt. Magufuli? Namkubali sana Rais JPM tena yawezekana hata kuliko ulivyo Wewe au ' Praise Team ' Wenzako na ni Shabiki wa CCM pia ( japo bado sijawa Mwanachama ) lakini naweza Kukuambia kuwa wapo Watu hapa katika hii ' List ' yako wana Mawazo mazuri na chanya kwa nchi hii na Kwake Mheshimiwa Rais sema tu kuna ' Kaugonjwa ' fulani kaliko na ' Upumbavu / Upopoma ' ndani yake kwamba Mtu yoyote anayekukosoa ni Adui yako au labda ni Mpinzani au ni ' Wakala wa Mabeberu ' kitu ambacho si kweli na labda kupitia Kwako Wewe na wengine wote wenye hii ' Mentality ' anzeni Kubadilika. Rais JPM hatosaidiwa na ama Kujipendekeza Kwake au Kumkongole ( Kumsifia ) Kinafiki ( Kumpaka Mafuta ) bali atasaidiwa tu kwa Kuambiwa Ukweli wake lakini pale ambapo akiwa anafanya vyema basi Sisi Watu wenye ' Neutral Minds ' kama GENTAMYCINE tutakuwa tunampongeza na tumekuwa tukifanya hivyo hapa Jamvini na hata huku katika Jamii.
 
Akili zako unazijua mwenyewe. Watu hawazidi 20 watamkwamishaje Amiri jeshi mkuu?

Ndege alizonunua pesa zake ndizo zitamkwamisha
 
Eti Abdul Nondo anamkwamisha Rais, hahahahahahahahahahaaaaa
 
Ujinga kutoka kwa jingalao
 
Magufuli alitaka kutukwamisha watanzania, badala yake kakwama yeye (kaangukia pua).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…