Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,299
Hakuna mlipa kodi mzuri kama mimi jamani! Nikiamka asubuhi lazima nitoe Lock na Bia 2 na baada ya kazi jioni lazima nitwange 5-6 na hii ni kila siku labda Dr. aniandikie dawa! Piga hesabu kwa siku/wiki/mwezi/mwaka nachangia kiasi gani pato la taifa?? halafu anakuja mtu ananiambia mpaka sasa hivi hajui kwanini Watanzania ni masikini!!!:confused2: