Orodha ya Walipa Kodi Wakubwa 40 - Taasisi za Serikali

Hakuna mlipa kodi mzuri kama mimi jamani! Nikiamka asubuhi lazima nitoe Lock na Bia 2 na baada ya kazi jioni lazima nitwange 5-6 na hii ni kila siku labda Dr. aniandikie dawa! Piga hesabu kwa siku/wiki/mwezi/mwaka nachangia kiasi gani pato la taifa?? halafu anakuja mtu ananiambia mpaka sasa hivi hajui kwanini Watanzania ni masikini!!!:confused2:
 
And mtoa mada samahani,labda kukuuliza umesoma wapy km limekukwaza,tuachane nalo
ndo mana nasisitiza TOA SOURCE,coz lazma kwny source wataeleza criteria na sababu za kuwachagua ,
 

Duh dogo janja unaonekana unapenda sana ligi. Niliposoma haijalishi hata kama sijasoma.

naona umenisaidia kujibu. Iko hivi hiyo kodi unayolipa wewe kwenye hiyo 18% VAT huilipii moja kwa moja TRA. Unaponunua huduma au bidhaa huyo unayemlipa ndiye anayetakiwa aiwakilishe TRA si wewe. Kwa misingi hiyo japo wewe umelipa lakini TRA inamtambua yeye kama mlipa kodi na ana TIN namba na VAT namba. Wewe unaweza kulipa direct unapoagiza vitu toka nje au huduma nyingine ambazo zinakulazimu ulipe TRA moja kwa moja.

Unapolipa luku Tanesco ndo wanachukua hiyo VAT na kuiwakilisha TRA na ndiyo maana unaona wako katika orodha.

Mwishoni tumia lugha ya kistaarabu, hii ni JF na ina kanuni zake unless kama unataka kupigwa bani endelea na lugha ya kejeli na matusi. Hoja zinakaribishwa.
 
Basi SAMAHANI na wewee Superman jmn loh,nsamehe sana nmepitiwa maneno mwenzio,usije niripoti nkalamba ban,si yameisha eh?na nnavopenda kuchangia mada,
aya BACK TO THE TOPIC ,ina maana basi labda unazungumzia withholding payments ambazo hzo idara inazikusanya,keep in mind,withholding payment hapo iwe in form of PAYE,VAT,SERVICE CHARGE nk,wamelipa wananchi hizo taasisi ni agents tu wakukusanya,so bado haiingii akilini,ZINALIPA KODI IPI HADI ZIONGOZE?NARUDIA TOA SOURCE,Vinginevo debate inaendelea
 

Ni taasisi za serikali hazina hiari ya kukwepa kodi, kwani huwa inafyekwa moja kwa moja.
 

IPO hivi ni wapelekaji wakubwa wa kodi tra.
 
IPO hivi ni wapelekaji wakubwa wa kodi tra.

bi Smile ni weyee mke mwenzaa,?nimekumisiii,ulipotea ghafla kule kwny thread 'yetu'
haya,kwny hyo mada basi aspecify ni kodi ipi na vogezo wanavotumia ku'rank,vngnevo mi bado sijaelewa,and kumbuka kwenye hyo list na TRA km imetajwa hivi,sijaangalia vzur
 
Last edited by a moderator:
TRA ipo namba 4 hapo,sasa mbona haieleweki TRA KUPELEKA KODI TRA??imekaaje hapo
 
Pia inawezekana wana manunuzi makubwa kwa ajili ya hiyo miundombinu na hivyo kulipia VAT?
PAYE sio kuwa inalipwa na kampuni hii inalipwa na mwajiliwa.
Manunuzi mengi haaa!!! hii nini sasa? kwani individual wanafanya nini?
Hapa tunaongelea Corporate Tax ambayo hukatwa Income Statement baada ya matumizi.
Usinichekeshe TRA ambao kazi yao ni kukusanya kodi Je wanalipa kodi wapi?
 
Ujamaa na kujitegemea wa Nyerere
 
Aliyetengeneza hii list na vigezo vyake hana akili sawasawa. Kodi inatokana na mapato. Sasa TANROADS wana mapato gani ya kuwafanya walipe kodi serikalini? Ikulu?

Hebu angalia, TRA wanazalisha nini hadi wawe walipa kodi wakubwa? Jibu ni wazi, TRA ni tasisi ya serikali inayoongoza kwa mishahara mikubwa nchini - kwamba bill ya kila mwezi ya mishahara ya wafanyakazi inaweza kuwa bajeti ya Mkoa wa Mwanza ya miezi sita. Sasa kutoka hiyo bill ya mishahara ya wafanyakazi wa TRA, ukiondoa P.A.Y.E unawasema kwamba wao ndio walipa kodi wakubwa? Huo ni utaahira

Japo waalimu wa shule za msingi ni wengi kuliko wafanyakazi wa TRA, bill ya mishahara ya TRA ya mwezi mmoja inaweza kulipa mishahara ya waalimu wa shule za msingi ya miezi sita. Halafu wanawasifia TRA walipa kodi wakubwa?

Halafu wanamwalika Raisi kwenda kushabikia ujinga kama huu na yeye kusema tuzo zitakuwa za Raisi? Hawa viongozi wetu walienda shule zipi? Hawa ndio wana akili ya kupanga mipango ya maendeleo ya Taifa kweli, ikiwa vitu vidogo kama hivi wanafanya kama wamemaliza shule ya ngumbalu mwaka huu?
 
Mkuu imeniuma Jina lako halijatoka kwa Mkeka ina maana huonekani!!?? 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…