Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Nasikia watafunguka mengi. Na hawa ndio wataweka mambo hadharani
👇
1. Job Ndugai huyu atafunguka mengi maana inasadikika namna alivyog'olewa ni sababu alitaka kuleta kauzibe kwa wapiga madili.
2. Luhaga Mpina huyu atafunguka mengi sana huko mbeleni na hali ya hewa itachafuka.
3. Dk . Bashiru Ali Kakurwa atafunguka mambo mazito na mpaka CCM itapasuka. Ameyaweka moyoni tu.
4. Paragamanda Kabudi: atashusha nondo za kutosha kama anafundisha chuo.
5. Merdad Kalemani huyu ataweka hadharani ishu nyeti za nishati zilivyohujumiwa.
Orodha ni ndefu sana. Wengine watajiunga nyuma ya pazia.2025 hali ni ngumu sana kisiasa hapa nchini.