Orodha ya wanasiasa ambao inasadikiwa watajiunga umoja party huko mbeleni watatujuza mengi na kubadili upepo wasiasa

Hawa wote ni waoga wa maisha kuliko mtu yeyote yule.
 
Hao wote ni deadwoods.
Hawana mvuto wala charisma juu ya kile wanachokiona wana kiamini.
Sioni wa kupambana hata na Nape hapo.

Wanaweza shindana na Masanja Mkandamizaji na wasishinde.
CCM iko imara.
 
Aliyekuwa nyuma na kinara wa umoja party ni chakubanga na ameshakatwa mkia hayupo tena kwenye active politics za nchi. Labda akaanzishe umoja party nyingine huko Lilongwe.
 
Kabudi sio rahisi.
Huyo sio mwanasiasa wakuu mwacheni
 
Wanasiasa wana tabia za Kima.....ya, ma.....ya. Kwa hiyo si ajabu kwa hayo kutokea.
 
Kabudi sio rahisi.
Huyo sio mwanasiasa wakuu mwacheni
Huyu mzee aliyeokotwa jalalani hawezi kutoka huku kwenye chama pendwa. Atakuwa anamsaliti mwenyekiti mwendazake aliyemwokota kwenye jalala pale UDSM
 
Mamako nae atajiunga? Kuna chochote anachojua?
 
Kama hao ndio wababe wa hilo tawi la ccm, (yaani umoja party) basi hiko chama kipya kitaangukia pua hata kabla hakijazinduliwa rasmi!
 
Sabaya na Bashite usiwasahau
 
Bila ushauri huu kuzingatiwa ni ngumu Umoja Party kutoboa, nao ni Umoja Party kikiachana na tabia za upinzani wa sasa kitakuwa chama mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…