Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini Tanzania

Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini Tanzania

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na waliotangulia mbele ya haki. Nimewaweka kulingana na ubora wao. Namba moja ina maana ndo bora zaidi.

1. Hayati Mwalimu Julius Nyerere.
2. Mh. Jakaya Kikwete.
3. Mama Samia Suluhu
4 Mh. Edward Lowassa.
5. Dr Wilbroad Slaa.
6. Zitto Kabwe
7. Fahmi Dovutwa.
8. Hawa Bananga.
9. Freeman Mbowe.
10. Profesa Kitila Mkumbo.
11. Abdul Nondo
12. Tundu Lissu
13. Hamis Kigwangala
14. Mwigulu Nchemba
15. Hussein Bashe
16. Yericko Nyerere
17. Nusrat Hanje
18. John Heche
19. Mwita Waitara
20. John Mnyika.
 
List ina Abdul Nondo inamuacha Salim Ahmed Salim or Malim Seif, Mwinyi, Mkapa or JPM...hii ni list yenye emotional zaidi kuliko uhalisia na probably imeandikwa na mtoto wa 2002. Ukicha kujiteka Nondo kalifanyia nn taifa hili?

Most of the people kwenye list ni wapiga kelele tu hawana impact na siasa zao...you can not even measure their impact ktk maisha ya watanzania.
 
Huyo Yericho naye ni mwanasiasa wa jimbo la twitter

USSR
 
Huyo Yericho naye ni mwanasiasa wa jimbo la twitter

USSR
Huwa ana uvumilivu. Sio mwepesi kuku-block kama umetoa maoni tofauti. Wenzake wa CHADEMA huwa hawakubali maoni tofauti
 
Ni wanasiasa wazuri au wanasiasa waliofanya vitu vingi siasani.?
 
Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa...
Hii list yako haijanyooka, i mean ina mabonde mabonde kibao. Yani watu kama kina Kigwangala na Abdul Nondo wawepo afu Sokoine asiwepo!!
 
Hata mimi nimeshangaa sana

USSR
Imagine mtu kama Nondo ndani afu Sokoine nje. Nondo ameshindwa hata mpango wa kujiteka mwenyew leo hii anaonekana ni mwanasiasa bora Tanzania!!
 
Umetumia Kigezo kipi mkuu.
Maana tujue mapema.
Ndipo tuendelee na Mjadala
 
Kwa heshima na taadhima naomba umtoe Kitila Mkumbo kwenye hiyo list ndio tuanze kuongea.

Kitila si Kama mbunge wa kawe tu.

Kura za wizi hazimfanyi MTU kua mwanasiasa achilia mbali mwanasiasa mzuri.
 
Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na waliotangulia mbele ya haki. Nimewaweka kulingana na ubora wao. Namba moja ina maana ndo bora zaidi.

1. Hayati Mwalimu Julius Nyerere.
2. Mh. Jakaya Kikwete.
3. Mama Samia Suluhu
4 Mh. Edward Lowassa.
5. Dr Wilbroad Slaa.
6. Zitto Kabwe
7. Fahmi Dovutwa.
8. Hawa Bananga.
9. Freeman Mbowe.
10. Profesa Kitila Mkumbo.
11. Abdul Nondo
12. Tundu Lissu
13. Hamis Kigwangala
14. Mwigulu Nchemba
15. Hussein Bashe
16. Yericko Nyerere
17. Nusrat Hanje
18. John Heche
19. Mwita Waitara
20. John Mnyika.
Mwendazake alidandia gari Kwa mbele 😁😁
 
Hadi Nondo???

Unamuacha vipi Ally H Mwinyi? Sio tu kawa rais bali kamtengenezea njia mtoto mpaka nae kafikia hiyo ngazi...

Mkapa?

Samuel Sitta?

Bashiru Ally?

JPM?

Sokoine?

Kwamba hao wote wamezidiwa na Nusrat Hanje?
teh teh hapo sawa jpm na bashiru tupilia kuzimu
 
Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na waliotangulia mbele ya haki. Nimewaweka kulingana na ubora wao. Namba moja ina maana ndo bora zaidi.

1. Hayati Mwalimu Julius Nyerere.
2. Mh. Jakaya Kikwete.
3. Mama Samia Suluhu
4 Mh. Edward Lowassa.
5. Dr Wilbroad Slaa.
6. Zitto Kabwe
7. Fahmi Dovutwa.
8. Hawa Bananga.
9. Freeman Mbowe.
10. Profesa Kitila Mkumbo.
11. Abdul Nondo
12. Tundu Lissu
13. Hamis Kigwangala
14. Mwigulu Nchemba
15. Hussein Bashe
16. Yericko Nyerere
17. Nusrat Hanje
18. John Heche
19. Mwita Waitara
20. John Mnyika.
Umetumia vigezo gani?

Umeweka na walagai wa Siasa. Umeweka na mafisadi. Sijui siasa zako ni za wapi hizi.
 
Back
Top Bottom