Orodha ya Wanawake matajiri Afrika

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nahisi wapo wanawake matajiri zaidi ya hao hawajatambulika na hawahitaji kutambulika
 
Ukijaribu kuangalia kwa makini hao wote wana uhusiano wa moja kwa moja na wanasiasa ndani ya nchi zao.
Mimi nimeangalia kwa makini. Mwenye uhusiano wa moja kwa moja na wanasiasa ni Isabel ambaye baba yake alikuwa rais wa Angola, Bridgette Radebe ambaye mume wake ni waziri/mwanasiasa, Ngina Kenyatta
 
Isabel dos Santos anaendesha biashara za babake Jose Eduardo dos Santos aliyekuwa rais wa zamani wa Angola.
Familia hiyo inamiliki hela za utajiri wa mafuta na Almasi zilizokwapuliwa serikalini.
Nikisikia aliyepo madarakani alikuwa na mpango wa kufanya uchunguzi utajiri wake! Sijui imefikia wapi.
 
Hao WA Nigeria,Angola na Kenya wote ni utajiri wa kupiga Kodi za wananchi kupitia nyadifa za wazazi au waume zao na sio ule utajiri WA from the scratch yaani ule wa kuzaliwq masikini sio kosa lako bali kufa masikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…