balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
tajiri wa nje ya Circle ya utawala ayupo hapo.
huyo Isabel Santos kamilikishwa rasilimali za Angola na baba yake ambae ni Rais wa Angola.
ni hivyo yani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tajiri wa nje ya Circle ya utawala ayupo hapo.
huyo Isabel Santos kamilikishwa rasilimali za Angola na baba yake ambae ni Rais wa Angola.
ni hivyo yani.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli. Ndiyo maana nimeshangaa kuona Salma Kikwete kakosekana. Au atakuwa yeye anakwepa Kodi?
Maana rankings za utajiri huwa zinafanyika kwa kuangalia jumla ya Kodi na tozo zinazolipwa na mhusika..
Ndiyo maana yale ma-drug lords yanayomiliki kiasi kikubwa cha fedha kuliko hata akina Bill Gates lkn hayamo kwenye orodha.
Nahisi wapo wanawake matajiri zaidi ya hao hawajatambulika na hawahitaji kutambulikaOrodha ya wanawake wenye vibunda Africa.
Top 10 Richest African Women:
1. Isabel dos Santos([emoji1029]) - $2.2 Billion
2. Folorunso Alakija([emoji1184]) - $1 Billion
3. Ngina Kenyatta ([emoji1139]) - $1 Billion
4. Hajia Bola Shagaya ([emoji1184]) - $800M
5. Wendy Appelbaum ([emoji1221]) - $600M
6. Yvonne Ike ([emoji1184]) - $600M
7. Sharon Wapnick ([emoji1221]) - $500M
8. Bridgette Radebe ([emoji1221]) - $400M
9. Irene Charnley([emoji1221]) - $400M
10. Wendy Ackerman ([emoji1221]) - $200M
Source: Africa Hype Media
AseeMange Kimambi anaingiza 100m kwa siku.
Sio kweliNahisi wapo wanawake matajiri zaidi ya hao hawajatambulika na hawahitaji kutambulika
DuhNi kweli, haata Dangote alipata bust kubwa ndani ya utawala wa Obasanjo kipindi hicho rushwa imeshamiri sana, the same kwa MO na Rostam
Hao wasauzi wana uhusiano na kiongozi gani?tajiri wa nje ya Circle ya utawala ayupo hapo.
huyo Isabel Santos kamilikishwa rasilimali za Angola na baba yake ambae ni Rais wa Angola.
ni hivyo yani.
Mimi nimeangalia kwa makini. Mwenye uhusiano wa moja kwa moja na wanasiasa ni Isabel ambaye baba yake alikuwa rais wa Angola, Bridgette Radebe ambaye mume wake ni waziri/mwanasiasa, Ngina KenyattaUkijaribu kuangalia kwa makini hao wote wana uhusiano wa moja kwa moja na wanasiasa ndani ya nchi zao.
Wadangaji labdaKwa hiyo wanaoitwa wanawake wapambanaji hapa Tz hawapo😳
Nikisikia aliyepo madarakani alikuwa na mpango wa kufanya uchunguzi utajiri wake! Sijui imefikia wapi.Isabel dos Santos anaendesha biashara za babake Jose Eduardo dos Santos aliyekuwa rais wa zamani wa Angola.
Familia hiyo inamiliki hela za utajiri wa mafuta na Almasi zilizokwapuliwa serikalini.
Kuna anayestahili hayupo?.Hii list ni batili
NdioKuna anayestahili hayupo?.
WamekusahauNdio
Yeye kaachwaKuna anayestahili hayupo?.
HahahahahaHii list ni batili