Orodha ya Wanawake matajiri Afrika

Orodha ya Wanawake matajiri Afrika

Ni kweli. Ndiyo maana nimeshangaa kuona Salma Kikwete kakosekana. Au atakuwa yeye anakwepa Kodi?

Maana rankings za utajiri huwa zinafanyika kwa kuangalia jumla ya Kodi na tozo zinazolipwa na mhusika..

Ndiyo maana yale ma-drug lords yanayomiliki kiasi kikubwa cha fedha kuliko hata akina Bill Gates lkn hayamo kwenye orodha.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Orodha ya wanawake wenye vibunda Africa.
Top 10 Richest African Women:

1. Isabel dos Santos([emoji1029]) - $2.2 Billion
2. Folorunso Alakija([emoji1184]) - $1 Billion
3. Ngina Kenyatta ([emoji1139]) - $1 Billion
4. Hajia Bola Shagaya ([emoji1184]) - $800M
5. Wendy Appelbaum ([emoji1221]) - $600M
6. Yvonne Ike ([emoji1184]) - $600M
7. Sharon Wapnick ([emoji1221]) - $500M
8. Bridgette Radebe ([emoji1221]) - $400M
9. Irene Charnley([emoji1221]) - $400M
10. Wendy Ackerman ([emoji1221]) - $200M

Source: Africa Hype Media
Nahisi wapo wanawake matajiri zaidi ya hao hawajatambulika na hawahitaji kutambulika
 
Ukijaribu kuangalia kwa makini hao wote wana uhusiano wa moja kwa moja na wanasiasa ndani ya nchi zao.
Mimi nimeangalia kwa makini. Mwenye uhusiano wa moja kwa moja na wanasiasa ni Isabel ambaye baba yake alikuwa rais wa Angola, Bridgette Radebe ambaye mume wake ni waziri/mwanasiasa, Ngina Kenyatta
 
Isabel dos Santos anaendesha biashara za babake Jose Eduardo dos Santos aliyekuwa rais wa zamani wa Angola.
Familia hiyo inamiliki hela za utajiri wa mafuta na Almasi zilizokwapuliwa serikalini.
Nikisikia aliyepo madarakani alikuwa na mpango wa kufanya uchunguzi utajiri wake! Sijui imefikia wapi.
 
Hao WA Nigeria,Angola na Kenya wote ni utajiri wa kupiga Kodi za wananchi kupitia nyadifa za wazazi au waume zao na sio ule utajiri WA from the scratch yaani ule wa kuzaliwq masikini sio kosa lako bali kufa masikini.
 
Back
Top Bottom