Orodha ya Wasanii wa Afrika wenye mkwanja mrefu, huyu wetu anayemiliki nyumba 126 imekuaje?

Kuna yule jamaa MANSU LI jamaa najuaga ana fremu za biashara kama 100 hivi.
🤣 🤣 🤣 uko sahihi, usimsahau AY. Ana kampuni ya matangazo, pia ndie aliekuwa anaendesha kipindi cha MKASI na Salama Jabir pale EATV. Kumbuka alilipwa mkwanja mrefu na tigo kwenye ile kesi yake. Ila uzuri wa jamaa hana kelele kabisa, yuko kimyaaaaa!
 
Hapo sijaelewa takwimu hizi zimetoka wapi
Uzuri utandawazi unatusaidia sana kujua ukweli
Ukisoma utajiri wa Koffi mwaka 2016 alikuwa na net worth $18 m
Na wakati huo alikuwa anashika nafasi ya nne Africa

Ana mijengo Kinshasa, Paris na Belgium
Sijui huwa wanahesabu vip? inabidi tufatilie mkuu
 
List feki wapi kofi olomide
 
Sasa hizi 5.1usd millioni za Mond,si Sawa na Tsh billioni 11.7Tsh, sasa huu mpunga ni kidogo sana kwa kelele zinazopigwa na wasafi,sasa Kuna wabunge tu kwa mafao yao wanapata mpaka billioni 100
Sasa chief tunaongelea wabunge au wasanii ? Hakuna mbunge anayepata mafao billion 100 , may be akusanye mafao yake yote toka awamu ya Nyerere mpak ya Samia , na awe bungeni toka awamu ya Kwanza mpak ya sita , na hata akiwepo hapati hyo hela hata kama amehudumu Kwa level ya Wazir mkuu toka awamu ya Kwanza mpak ya sita
 
Sasa hizi 5.1usd millioni za Mond,si Sawa na Tsh billioni 11.7Tsh, sasa huu mpunga ni kidogo sana kwa kelele zinazopigwa na wasafi,sasa Kuna wabunge tu kwa mafao yao wanapata mpaka billioni 100
Diamond mavi tu mjini hapa. Hana hiyo pesa. Nakuhakikishia benk akiwa na hata mil 300 nahama nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…