Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Wikipedia.Rayvany ana hela?? Hivi hela mnadhania MATAKO EEEH
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wikipedia.Rayvany ana hela?? Hivi hela mnadhania MATAKO EEEH
🤣 🤣 🤣 uko sahihi, usimsahau AY. Ana kampuni ya matangazo, pia ndie aliekuwa anaendesha kipindi cha MKASI na Salama Jabir pale EATV. Kumbuka alilipwa mkwanja mrefu na tigo kwenye ile kesi yake. Ila uzuri wa jamaa hana kelele kabisa, yuko kimyaaaaa!Kuna yule jamaa MANSU LI jamaa najuaga ana fremu za biashara kama 100 hivi.
Mr II (Joseph Mbilinyi)Nitajie mmoja ambaye anapesa kumzidi Diamond na Hana matangazo...maskini tuna taabu Sana
Sijui huwa wanahesabu vip? inabidi tufatilie mkuuHapo sijaelewa takwimu hizi zimetoka wapi
Uzuri utandawazi unatusaidia sana kujua ukweli
Ukisoma utajiri wa Koffi mwaka 2016 alikuwa na net worth $18 m
Na wakati huo alikuwa anashika nafasi ya nne Africa
Ana mijengo Kinshasa, Paris na Belgium
kwamba Diamond ana hela ndefu kumzidi Koffi?!!!!! over my body dead (in his voice)!Si haba, baada ya hapo anayefata ni Rayvanny.... Ukweli mchungu Sana
List feki wapi kofi olomideView attachment 1782089
Harmonize kasema hakuna msanii wa Tanzania alie mkubwa Afrika ila tunadanganyana tu, akabezwa.
List ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu imetoka na msanii wetu tunaemuita mkubwa ametoka kapa hata kwenye 15 hayupo.
Hii ina maana vile vyanzo vya mapato vyote inavosemekana vyake havimuingizii faida, watu wanajinufaisha kupitia yeye halafu anatamba kwa sifa tu
Pole sana kwake na kwa nyie mnaomlamba miguu, dunia ya sasa ni vigumu sana kuongopa
Sasa hizi 5.1usd millioni za Mond,si Sawa na Tsh billioni 11.7Tsh, sasa huu mpunga ni kidogo sana kwa kelele zinazopigwa na wasafi,sasa Kuna wabunge tu kwa mafao yao wanapata mpaka billioni 100View attachment 1780929
Si haba, baada ya hapo anayefata ni Rayvanny.... Ukweli mchungu Sana
Sasa chief tunaongelea wabunge au wasanii ? Hakuna mbunge anayepata mafao billion 100 , may be akusanye mafao yake yote toka awamu ya Nyerere mpak ya Samia , na awe bungeni toka awamu ya Kwanza mpak ya sita , na hata akiwepo hapati hyo hela hata kama amehudumu Kwa level ya Wazir mkuu toka awamu ya Kwanza mpak ya sitaSasa hizi 5.1usd millioni za Mond,si Sawa na Tsh billioni 11.7Tsh, sasa huu mpunga ni kidogo sana kwa kelele zinazopigwa na wasafi,sasa Kuna wabunge tu kwa mafao yao wanapata mpaka billioni 100
WizkidNitajie mmoja ambaye anapesa kumzidi Diamond na Hana matangazo...maskini tuna taabu Sana
Nenda Nigeria ukajionee.... Sifa ya msanii ni fame, Yani fanya kila linalowezekana uongelewe , zaidi ya hapo labda we ni mfanya biashara uliyejisajili Kwa jina la usaniiWizkid
Hapa ni wasani tuKuna yule jamaa MANSU LI jamaa najuaga ana fremu za biashara kama 100 hivi.
Diamond mavi tu mjini hapa. Hana hiyo pesa. Nakuhakikishia benk akiwa na hata mil 300 nahama nchi hii.Sasa hizi 5.1usd millioni za Mond,si Sawa na Tsh billioni 11.7Tsh, sasa huu mpunga ni kidogo sana kwa kelele zinazopigwa na wasafi,sasa Kuna wabunge tu kwa mafao yao wanapata mpaka billioni 100
MANSU LI ni msanii yupo KIKOSI KAZIHapa ni wasani tu
Yeah, ndio nimemchekiMANSU LI ni msanii yupo KIKOSI KAZI
Pia Davido, haha jamaa ana private jet dadeqWizkid
Asante sanaTunabishaniana mikwanja ya wengine[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]wakati hatuna hata USD 5000 bank