Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Kaka Sugu hamna kipaji pale.

Flow mbovu
Mistari ya kawaida hata ww unaimba ile

Sugu ana ngoma tatu nazikubali sana lkn haina maana ana kipaji ,sugu ni mwanaharakati tu wa hip hop,hamnamo kipaji mule mbunge wangu yule

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Wote wa zamani. Yaani zamani ulikua ukiingia studio tu umetoka.

Mfano kuna mwamba aliimba:

"Ni namna gani, tuta win, maishani hadi siku tutasema buriani.."

Aliimba utumbo haujawahi tokea ila alitoka kwa zama zile.
Sio utumbo unajua watu hamjui mziki tatizo ndio linaanzia hapo yaan watu km nyinyi mkienda Sauti za Busara au kule Tasuba lazima mrushe makopo jukwaaani, nishawaelewa first of all define what's music?
 
Asante sana mkuu
 
Sugu huwa ana midundo miwili, mmoja anausikia kwenye akili yake na mwingine anagongewa na producer, bahati mbaya yeye huwa ananata na ule anaosikia kwenye akili yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah we jamaa uko deep sana

Kwamba jamaa mara zote yuko off bit
 
Hamna wasanii hapo bana.huyo bou nako ndio kabisaa

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe wewe unaangalia flow tu huangalii rhymes huangalii tungo huangalii messages ya mziki huangalii vina na mizani huangalii uandishi huangalii mpangilio wa mashairi hauangalii uandishi
 
Point ya msingi ni kuwa sugu hana kipaji
 
Kenya yupo yule ameimba kigeugeu anaitwa jagwa .
Yule naye hamna kitu, ila ana ngoma mbili amabazo nazikubali sana

Kioo
Navuka border ft AY

Kwangu hizi ndo ngoma bora kutoka kwa jagwa
 
Wote wa zamani. Yaani zamani ulikua ukiingia studio tu umetoka.

Mfano kuna mwamba aliimba:

"Ni namna gani, tuta win, maishani hadi siku tutasema buriani.."

Aliimba utumbo haujawahi tokea ila alitoka kwa zama zile.
Uko sahihi sana mkuu , japo watakuja kukupinga hapa
Zamani ilikua ukipeleka ngoma redioni basi umetoka
 
Kumbe wewe unaangalia flow tu huangalii rhymes huangalii tungo huangalii messages ya mziki huangalii vina na mizani huangalii uandishi huangalii mpangilio wa mashairi hauangalii uandishi
Umandika pumba tupu hapa
 
Uko sahihi mkuu
 
Nyinyi kipaji mnazungumzia kipaji kipi majaji wa BSS kipaji kipi mnazungumzia sauti, utunzi, uandishi, uimbaji, mpangilio wa mashairi au kipaji kipi mnakizungu ?
Labda nkuulize sugu ana uwezo gan kimuziki?
 
Kumbe wewe unaangalia flow tu huangalii rhymes huangalii tungo huangalii messages ya mziki huangalii vina na mizani huangalii uandishi huangalii mpangilio wa mashairi hauangalii uandishi
Nangalia vyote lakini
Flow ,ujumbe na tungo ndio vinamfanya msanii tuseme anakipaji.

Kwa sugu unapata ujumbe tu kama kwa mrisho mpoto.
Mimi ni shabiki wa Sugu lakini ni msanii wa kawaida sana

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Mziki ni zaidi ya hivyo nyinyi machoko mtasema hadi Mr. Ebo alikua hajui kuimba emu nendeni mkafokoane huko maana ndio mnachokijua siku hizi kuimbiana nyimbo za kishoga ndio zinazo hit stupid kabisa
Oya tuliza hasira mwanetu,huu ni mjadala huru usitukane

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…