Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Mziki ni zaidi ya hivyo nyinyi machoko mtasema hadi Mr. Ebo alikua hajui kuimba emu nendeni mkafokoane huko maana ndio mnachokijua siku hizi kuimbiana nyimbo za kishoga ndio zinazo hit stupid kabisa
Acha makasiriko , umekosa point unaanza kutukana , njoo na hoja zenye mashiko ..fala ww
 
Acha makasiriko , umekosa point unaanza kutukana , njoo na hoja zenye mashiko ..fala ww
Wewe choko usijifananishe kesho mtasema Mr. Ebo marehemu alikua hajui kuimba mnataka mpigiwe nyimbo zenu za kishogashoga na kutangaza ushoga ndio mnaona nyimbo
 
Sasa mwana fa anamfikia sugu ebu acha kuongea pumba, kwa unavyoongea ni wazi mambo mengi umehadithiwa

Mfano mtu akisiliza nyimbo za michael jackson leo atakuambia ni za kawaida na hana kipaji, lakin mtafute mtu aliyekua anajitambua miaka ya 80's na 90's atakuambia michael jackson ni moto wa kuotea mbali ila mtoto wa 2000's atakuambia hana kipaji
 
Hivi unameanzia 1990 mpaka sasa 2023 au ume-catogorize tofauti, unamjua msanii wa kwanza kutoa nyimbo ya bongo fleva radioni kipindi hicho nyimbo hizo zinapigwa Vita vibaya na kuonekana ni uhuni?
Sugu
 
Uzi unafikirisha sana, waliotajwa wengine wana vipaji halisi kabisa ila muda umekua siyo sahihi kwao
 
Wewe choko usijifananishe kesho mtasema Mr. Ebo marehemu alikua hajui kuimba mnataka mpigiwe nyimbo zenu za kishogashoga na kutangaza ushoga ndio mnaona nyimbo
We nshakuona huna akili .....
 
Walianza na Wakazi huko Twitter Sasa wamekuja na list ndefu ndio namwambia mwisho atasema Mr. Ebo marehemu alikua hajui kuimba na alikua hana kipaji,
Mkuu nshakuona ulivyo mweupe kichwani ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…