Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Hawa MADOGO wakishapigiwa nyimbo zao za kishoga shoga basi ndio wanaanza kupaka kinyesi watu walioimba enzi hizo, muulize anamjua marehemu John Woka nae atakwambia hana kipaji hajui kuimba
John walker wa watukutu namjua vizuri , jamaa alikua anajua sana
Me nafkir we unaendeshwa na mihemko tuu , afu huna exposure
 
Sasa mwana fa anamfikia sugu ebu acha kuongea pumba, kwa unavyoongea ni wazi mambo mengi umehadithiwa

Mfano mtu akisiliza nyimbo za michael jackson leo atakuambia ni za kawaida na hana kipaji, lakin mtafute mtu aliyekua anajitambua miaka ya 80's na 90's atakuambia michael jackson ni moto wa kuotea mbali ila mtoto wa 2000's atakuambia hana kipaji
Yan unamfananisha FA na sugu ...we kweli mtupu kichwani
 
Wote wa zamani. Yaani zamani ulikua ukiingia studio tu umetoka.

Mfano kuna mwamba aliimba:

"Ni namna gani, tuta win, maishani hadi siku tutasema buriani.."

Aliimba utumbo haujawahi tokea ila alitoka kwa zama zile.
Anaitwa Fred Saganda na wimbo ulikuwa unaitwa Rafael. Alituburudisha sana aisee. Kwa sasa ni maarufu kama Uncle T kwenye Akili Akili projects. Msikilize kuanzia dk 1:34

 
Ila we jamaa unachekesha Sana bou nako ana Ngoma yake moja inaitwa MBIO ZA VIJITI...
Siku ukifika Musoma mjini halafu useme Bou Nako Hana kipaji walahi nakuapia kichwa chako kitakatwa mchana kweupeeeeeeeeee wapewe zawadi sangara wa ziwa Victoria...

Huyo Dudubaya unayesema Hana kipaji huenda wewe ndo hujui nyimbo zake na balaa zilizofanya mwanzoni mwa miaka ya 2000...

Hivi ulibahatika kusikiliza hizi ngoma Kwanza..
1. Nakupenda mpenzi
2. Nimeondoka
3. Mashaka
4. Nakupenda tu
5. Manundu
mbio za vijiti huko Musoma mpaka kulikua na gang inajiita hivyo, na walikua wakitaka kufanya yao inapigwa hiyo ngoma huku wameshika sime zao, daah
 
Dudu baya na bou nako hawana uwezo kimuziki walitoka kipindi muziki haukuwa na wasanii wengi ..zamani ilikua ukisha record na ngoma ikabahatika kwenda redioni basi ujue ushatoka
jamaa umekomalia eti walitoka kipindi hakukua na wanamuziki, those days competition ilikua kubwa sana kwa taarifa yako, tena naweza sema sasa hivi ndio kama hamna wanamuziki wengi kama kipindi hicho, kila mwaka kulikua kunatika vichwa vya kutosha kwenye game, kuna kina Inspector, nature, prof J, dogo hamidu, bwana misosi, pig black, asee walikua wengi
 
Mapacha ft rama dee mpaka tuzo za kili walibeba

Sasa ile ngoma Rama dee c ndo kaipendezesha pamoja na bit
Ni kama unasema Rama Dee ni msanii mkali (mwenye kipaji)

labda nkukumbushe tuu wasanii wote aliounda nao Ant virus hawana vipaji vya muziki
Rama Dee alikuwa miongoni mwa wasanii wa Anti-Virus project, ambae umesema aliwabeba mapacha kwa chorus kali.

Wengine ni kina Mkoloni (mgosi), Dan Msimamo - hawa pia hawana vipaji.
 
..zamani ilikua ukisha record na ngoma ikabahatika kwenda redioni basi ujue ushatoka
Zamani hizo kweli ngoma ikienda redioni unakuwa ushatoka. Sasa shida haikuwa kwenda redioni, shida ilikuwa kurekodi. Ili urekodi ililazimu uwe na kipaji, husuani kwa P Funk ndio uruhusiwe kurekodi, sasa hao kina Kala Pina, Jaffarai, Kali P, Mike T wote walirekodi kwa Majani.
 
Kiukweli tu watanzania wanshindwa kutofautisha heshima na kipaji. Sugu kipaji cha muziki hakuna ila heshima anayo na yote ni kwasababu wakati wanaimba wao hakukuwa na ushindani, so ata ukiimba vibaya hakuna wakukushinda nisha nae.
Kuimba vizuri ndo kuimbaje? Sugu anafanya hip hop
 
Mh temba hauna uwezo wowote kimuziki ...aliotea zamani enz zile wasanii ni wachache
Kama ni msanii mkali atengeneze hit song sahv kama mwenzie chege
Hapa wasanii wengi watakuwa hawana vipaji,
Kina Solo Thang, Balozi Dola Soul, Mr. Paul, Inspekta Haroun, Afande Sele, Ferouz, Daz Baba, Joslin, Sister P, Roho 7, Nuruel
 
Soggydog hunter

Huyu jamaa bora angebaki kwenye u presenter tuu huku kwenye music aliforce tuu hana uwezo kabisa ana ngoma nyingi ila iliyopenya ni kibanda cha simu pekee yake
hapa ndiyo natambua hujui mziki hasa wa zamani
Soggy mda mwingi sana alikua upande wa production, hasa kusuka drums
kuimba ni mara moja moja, 98% kusuka drums, 2% ndiyo kuimba
 
Anaitwa Fred Saganda na wimbo ulikuwa unaitwa Rafael. Alituburudisha sana aisee. Kwa sasa ni maarufu kama Uncle T kwenye Akili Akili projects. Msikilize kuanzia dk 1:34

Mkuu una maoni gan kupitia ile list
 
Back
Top Bottom