Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
- Thread starter
- #401
John walker wa watukutu namjua vizuri , jamaa alikua anajua sanaHawa MADOGO wakishapigiwa nyimbo zao za kishoga shoga basi ndio wanaanza kupaka kinyesi watu walioimba enzi hizo, muulize anamjua marehemu John Woka nae atakwambia hana kipaji hajui kuimba
Me nafkir we unaendeshwa na mihemko tuu , afu huna exposure