Orodha ya washindi tuzo za TFF

Hapana mkuu,mchezaji bora wanaangalia perfomance na uwingi wa dakika ulizocheza kwa msimu.
Hata kama hujafunga,ila umefanaya vyema unapata.
Nakupa mifano ya Juma Abdul na Mohamed Hussein.
Haya Tufanye surpong ndio mchezaji bora
 
Bongo zozo alikua anamuhamasisha nani? [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dhambi ya unafiki itatutesa sana wabongo piga ua galagaza hiyo tuzo ilikua n ya manara hakuna asiyejua jamaa aliitendea nn Simba..
Mimi na watanzania wengi
 
Tumia akili basi hata kidogo takwimu za CAF utazileta vp kwenye local league?
 
Ila nina mashaka na aina ya Bangi wanayovuta baadhi ya wachezaji wa Yanga haswa Feisal sasa lile ndio koti ganii la kuvaa kwenye hafla kubwa kama ile kwelii na mawani tinted usiku kama ule ya nn sasa
atakuwa alikuwa kala kungu na kuvuta shisha ndo maana kavaa matinted Kama saibogi
 
Kwa manara kwa kweli wamemdhulumu iko wazi
 
No.13. Goli bora la mwaka Mbeya City- Patson Shigala
 
Naweza unapiga mwingi na tuzo anapewa unaemzungusha uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…