Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo zozo alikua anamuhamasisha nani? [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dhambi ya unafiki itatutesa sana wabongo piga ua galagaza hiyo tuzo ilikua n ya manara hakuna asiyejua jamaa aliitendea nn Simba..Angepewa Manara mngesema,Nugaz kakosa mnasema,kapata Bongo Zozo makelele!!..
Haya Tufanye surpong ndio mchezaji boraHapana mkuu,mchezaji bora wanaangalia perfomance na uwingi wa dakika ulizocheza kwa msimu.
Hata kama hujafunga,ila umefanaya vyema unapata.
Nakupa mifano ya Juma Abdul na Mohamed Hussein.
Mimi na watanzania wengiBongo zozo alikua anamuhamasisha nani? [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dhambi ya unafiki itatutesa sana wabongo piga ua galagaza hiyo tuzo ilikua n ya manara hakuna asiyejua jamaa aliitendea nn Simba..
Kwa jinsi ulivo ni Sawa lakiniMimi na watanzania wengi
Ndivyo nilivyo ulikua kwenye Tuzo au ulifwatilia JF Ndugu yangu?Kwa jinsi ulivo ni Sawa lakini
Bora umejijua ulivo..Ndivyo nilivyo ulikua kwenye Tuzo au ulifwatilia JF Ndugu yangu?
Hahahaha akili ni Nzuri sana lakini uwezo ni Bora zaidi!!..Bora umejijua ulivo..
Kwani Yanga kuna wachezaji wa maana pale, nani kwa mfano....Manara?Kwahiyo tuna kubaliana Simba SC ni Moto!!..Tuzo 90% wamechukua hawa Simba SC
Tumia akili basi hata kidogo takwimu za CAF utazileta vp kwenye local league?Habari za muda Wana jamvi...
Binafsi sihitaji kudecrare interest lakini something is still spinning in my atriums,
Binafsi Nina uhakika manara Kama angebakia Simba angeibeba tuzo hii ya muhamasishaji Bora , shida ni yeye kwenda upande wa gundu , pengine hata zile takwimu zilikuwa ni kuhakikisha kuwa yeye ni nothing kwa Simba ili asije akajikweza, napata wakati Mgumu Kwan Simba alicheza game nyingi kimataifa ambazo yanga hawakucheza na gemu kibao waliingiza mashabiki 15000++ , na ni zilikuwa Kama 8 ++, haimake sense , au mashabiki wa game za kimataifa hawakuingia kwenye takwimu???, Hata Kama yanga wanawazidi Simba mashabiki kias gani Ina maana yanga walifidia game za ligi tu wale jamaa wa kimataifa, ukumbuke Simba waliuza tiketi kwa wanachama tu so hakukuwa na mamluki,Kuna game waliingizamashabiki 30000 wenye kadi tu,....inawezekana tff target yenu ni kuikomoa yanga by any means had watu waliofanya makubwa kwenu kuwanyima nafasi wakiwa upande msio uhusudu, Nina uhakika zile takwimu zilikuwa ni za kuuhadaa ulimwengu kuwa yanga waliingiza mashabiki wengi kuliko utelembwe wakati utelembwe walikuwa na cafcl games, warace karia acha roho mbaya hii itakutia doa sana , turud kwenye takwimu , Kama zilikuwa ni sahihi kwanini msimpe nugaz tuzo, so ishu yenu ni kuhakikisha nobody utopolo side is honored despite how best he is why bongo zozo?.
Kahamasisha Nini ?
Manara hawez chukua sabab tu ni utoporo?
Au nugaz hawez chukua sababu ni utoporo pia ?
atakuwa alikuwa kala kungu na kuvuta shisha ndo maana kavaa matinted Kama saibogiIla nina mashaka na aina ya Bangi wanayovuta baadhi ya wachezaji wa Yanga haswa Feisal sasa lile ndio koti ganii la kuvaa kwenye hafla kubwa kama ile kwelii na mawani tinted usiku kama ule ya nn sasa
tuzo ya miquison hiiMchezaji bora ligi kuu Tanzania bara (MVP) - John Raphael Boko - Simba Sc
sio kweliMchezaji Bora lazima awe mfungaji Bora au hili ni geni kwako?
Ni Kweli Hakuna Wachezaji Wa Maana Yanga Lakini Hutakuja Kuwafunga Na Simba Yako Msimu Huu Kwenye Mechi Yoyote ile.Kwani Yanga kuna wachezaji wa maana pale, nani kwa mfano....Manara?
No.13. Goli bora la mwaka Mbeya City- Patson ShigalaView attachment 1982520
Mpaka sasa Tuzo za TFF hawa ndo walioshinda
1.Kipa bora - Aish Salum Manula- Simba sc
2.Kocha bora ligi kuu-Didier Gomes Da Rosa-Simba Sc
3.Kiungo bora- Clatous Chota Chama- Simba Sc
4.Kocha bora ligi ya wanawake - Edna Lema-Yanga princess
5.Fair Play( mchezo wa kiungwana)- Kibwana Shomary- Young Africans
6.Mwamuzi bora- Ramadhan kayoko
7.Beki bora- Mohammed Hussein - Simba Sc
8.Tuzo ya heshima soka la wanawake- Maneno Tamba (RIP)
9.Mfungaji bora - John Bocco- Simba Sc
10.Mfungaji bora kombe la shirikisho- Reliant Lusajo- Namungo Fc
11. Rais wa heshina TFF - Leodigar Tenga
12.Kipa bora Shirikisho- Aish Salum Manula
13.Goli bora la mwaka- Sabiyanka - Tanzania Prison
14.Tuzo ya heshima - Abdala kibadeni
15.Mhamasishaji Bora - Bongo zozo
16. Bingwa ligi kuu Simba Sc
17 .Bingwa ligi ya wanawake - Simba Sc
18. Ligi ya wanawake Mshindi wa pili Young Princess
View attachment 1982521
No.13. Goli bora la mwaka Mbeya City- Patson Shigala
Kama ni local league bongo zozo anaingiaje sas... Ndo maana tunasema ni za mchongoTumia akili basi hata kidogo takwimu za CAF utazileta vp kwenye local league?