Orodha ya washindi tuzo za TFF

Orodha ya washindi tuzo za TFF

Hapana mkuu,mchezaji bora wanaangalia perfomance na uwingi wa dakika ulizocheza kwa msimu.
Hata kama hujafunga,ila umefanaya vyema unapata.
Nakupa mifano ya Juma Abdul na Mohamed Hussein.
Haya Tufanye surpong ndio mchezaji bora
 
Bongo zozo alikua anamuhamasisha nani? [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dhambi ya unafiki itatutesa sana wabongo piga ua galagaza hiyo tuzo ilikua n ya manara hakuna asiyejua jamaa aliitendea nn Simba..
Mimi na watanzania wengi
 
Habari za muda Wana jamvi...
Binafsi sihitaji kudecrare interest lakini something is still spinning in my atriums,
Binafsi Nina uhakika manara Kama angebakia Simba angeibeba tuzo hii ya muhamasishaji Bora , shida ni yeye kwenda upande wa gundu , pengine hata zile takwimu zilikuwa ni kuhakikisha kuwa yeye ni nothing kwa Simba ili asije akajikweza, napata wakati Mgumu Kwan Simba alicheza game nyingi kimataifa ambazo yanga hawakucheza na gemu kibao waliingiza mashabiki 15000++ , na ni zilikuwa Kama 8 ++, haimake sense , au mashabiki wa game za kimataifa hawakuingia kwenye takwimu???, Hata Kama yanga wanawazidi Simba mashabiki kias gani Ina maana yanga walifidia game za ligi tu wale jamaa wa kimataifa, ukumbuke Simba waliuza tiketi kwa wanachama tu so hakukuwa na mamluki,Kuna game waliingizamashabiki 30000 wenye kadi tu,....inawezekana tff target yenu ni kuikomoa yanga by any means had watu waliofanya makubwa kwenu kuwanyima nafasi wakiwa upande msio uhusudu, Nina uhakika zile takwimu zilikuwa ni za kuuhadaa ulimwengu kuwa yanga waliingiza mashabiki wengi kuliko utelembwe wakati utelembwe walikuwa na cafcl games, warace karia acha roho mbaya hii itakutia doa sana , turud kwenye takwimu , Kama zilikuwa ni sahihi kwanini msimpe nugaz tuzo, so ishu yenu ni kuhakikisha nobody utopolo side is honored despite how best he is why bongo zozo?.
Kahamasisha Nini ?
Manara hawez chukua sabab tu ni utoporo?
Au nugaz hawez chukua sababu ni utoporo pia ?
Tumia akili basi hata kidogo takwimu za CAF utazileta vp kwenye local league?
 
Ila nina mashaka na aina ya Bangi wanayovuta baadhi ya wachezaji wa Yanga haswa Feisal sasa lile ndio koti ganii la kuvaa kwenye hafla kubwa kama ile kwelii na mawani tinted usiku kama ule ya nn sasa
atakuwa alikuwa kala kungu na kuvuta shisha ndo maana kavaa matinted Kama saibogi
 
Kwa manara kwa kweli wamemdhulumu iko wazi
 
View attachment 1982520

Mpaka sasa Tuzo za TFF hawa ndo walioshinda

1.Kipa bora - Aish Salum Manula- Simba sc

2.Kocha bora ligi kuu-Didier Gomes Da Rosa-Simba Sc

3.Kiungo bora- Clatous Chota Chama- Simba Sc

4.Kocha bora ligi ya wanawake - Edna Lema-Yanga princess

5.Fair Play( mchezo wa kiungwana)- Kibwana Shomary- Young Africans

6.Mwamuzi bora- Ramadhan kayoko

7.Beki bora- Mohammed Hussein - Simba Sc

8.Tuzo ya heshima soka la wanawake- Maneno Tamba (RIP)

9.Mfungaji bora - John Bocco- Simba Sc

10.Mfungaji bora kombe la shirikisho- Reliant Lusajo- Namungo Fc

11. Rais wa heshina TFF - Leodigar Tenga

12.Kipa bora Shirikisho- Aish Salum Manula

13.Goli bora la mwaka- Sabiyanka - Tanzania Prison

14.Tuzo ya heshima - Abdala kibadeni

15.Mhamasishaji Bora - Bongo zozo

16. Bingwa ligi kuu Simba Sc

17 .Bingwa ligi ya wanawake - Simba Sc

18. Ligi ya wanawake Mshindi wa pili Young Princess

View attachment 1982521
No.13. Goli bora la mwaka Mbeya City- Patson Shigala
 
Naweza unapiga mwingi na tuzo anapewa unaemzungusha uwanjani.
 
Back
Top Bottom