Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba


Endelea na hii list, ni muhimu inatufarakanisha, kiboko ni huyo aliyesema atatoa siri kilichomuua sokoine, nimempenda bure
 
Hawa watu, walikuwa na pesa nzuri, na Ray pesa sio Kama Hana, Ila watu wao wa karibu wameshindwa kuwashauri vizuri kuhusu kujenga, si kajamba Nani tunavibanda sembuse wao.
 
Alikuwa na yeye anaishi pale...badae ngumi ngumi za haja ( si unajua ray ni libaunsa afu kakaake ana kamwili ka mbu) kakaake akahama pale...

But kila akipiga gambe anakinukisha

Duuuh yule jamaa mwili wake kumbe bado uke vile vile? Mara ya Mwisho nilionana naye 2008 maeneo ya morocco amefanana kidogo na Ray sema jamaa sura yake nyembamba,tulikuwa tumwita Kigosi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…