Sayuni pana mijengo na miji ya kifahari Hakuna mfanowe duniani.Paradiso ndio sayuni!??
nasikia huko hakuna mijengo ni bustani tu.
au ndio maana watu huwa hawarudi wakienda. Huenda wanatushangaa tuliobaki huku!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sayuni pana mijengo na miji ya kifahari Hakuna mfanowe duniani.Paradiso ndio sayuni!??
nasikia huko hakuna mijengo ni bustani tu.
au ndio maana watu huwa hawarudi wakienda. Huenda wanatushangaa tuliobaki huku!?
Kipi cha ajabu wao kutokuwa na nyumbaNdo maana jina lako halimo,huku wanaongelewa mastaa na wenye hela zao
Hivi mnayajuaje haya yote?TID anakaa na mamaake kinondoni ka ray tu[emoji848]
Hapo namba 8 umemaanisha Manara ama?7. McGarab (yupo hai)
8. Semaji la Klabu (yupo hai)
9. McPilipili (yupo hai)
10. Stiv Ake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakijaisha. Rushaina kastuka!
1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi
Itaendelea
Hahahahaha...ujue unanichekesha wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Matajiri hawana muda wa kupost humu sisi wote njaa tu, yaani niache kula mapilau kwa sele bonge, ma moet kidimbwi na wavuvi kemp ninunue michanga kisa? Jengeni tu sasa wote tukijenga mtampangisha nani?
Bora uwe na hata hicho kichekeshoHizo nyumba zanyewe sasa pia ni vichekesho.... tukisema tuziwekee grade nyumba za watanzania wengi.... tutajikuta wengi wana nyumba zenye hadhi ya vibanda. Zero quality
Hawa watu, walikuwa na pesa nzuri, na Ray pesa sio Kama Hana, Ila watu wao wa karibu wameshindwa kuwashauri vizuri kuhusu kujenga, si kajamba Nani tunavibanda sembuse wao.1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi
7.Ruge Mutahaba
Huyu ni kama alijua atakata moto mapema akaona isiwe taabu
Itaendelea
Sijakuelewa!Inachekesha ila wanakwambia kupanga ni kuchagua
RIP to nandy tuuu
Kwahiyo kushindwa kwao kujenga unawapa lawama wanaomzunguka..!!! USISAHAU NA YEYE KUNA WATU ANAWAZUNGUKA NA HAWAJAJENGAHawa watu, walikuwa na pesa nzuri, na Ray pesa sio Kama Hana, Ila watu wao wa karibu wameshindwa kuwashauri vizuri kuhusu kujenga, si kajamba Nani tunavibanda sembuse wao.
Wakati mwingine wanaume wenzetu wanakuwa majinga sana. Ni ushamba na kutojiamini tuUzuri ni wanaume tunaoamini wao ndo viongozi kwenye familia zetu. Unakuta mke alishauri wajenge akaitwa mjuaji/hana adabu kwa mumewe. Nasubiri povu
Mkuu mbona umemfokea?Utakufa bila kufunga macho wewe
Acha ujinga.walojenga hizo nyumba zinawasaidia nini huko kaburini?wangezikwa kwenye nyumba zao basi?? Tena wengine nyumba zao zilishauzwa tena bei chee tu na watu wakala hela wakapita hivi
Jibu la kijiniaz kabisa.Hakuna haja tutaagia kanisani
Alikuwa na yeye anaishi pale...badae ngumi ngumi za haja ( si unajua ray ni libaunsa afu kakaake ana kamwili ka mbu) kakaake akahama pale...
But kila akipiga gambe anakinukisha