Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Wsiojenga wanavyojitetea! Wanakuambia kujenga sio lazima.
Anajisahau kuwa yeye mwenye kakaa kwenye nyumba iliyojengwa na mwanaume mwenzie.
Huyo mwenye nyumba unakokaa angekuwa na mawazo mgando si ungeishi kama Nyani wewe.
 
Huu ni uzi wa maisha akidondoka tu mtu tunakagua kajenga au laaa na kama jibu ni laaa tunaupdate uzi tunaongeza namba pale maisha yanaendelea mana tumeishia no 38 pale nimeona
 
Duniani tunapita ujenge njiani ili iweje?!!
 
Gill Biz a.K.a Gilbert Sanga, professional Dentist, rapper, MC, actor, artist and songs writer.
 
Back
Top Bottom