Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Steve Nyerere anayo nyumba mzee usimchukulie poa8. Wema Sepetu - toka aanze kudanga miaka karibia 30 iloyopita mpaka sasa hajajenga nyumba, anaishi kimagumashi tu hapa mjini akitunzwa na wanaume waliochoka
9. Kajala - Huyu bibi sijuwi niseme nini juu yake, kiufupi, hana nyumba na wala hatarajii kujenga kwani ni mdangaji tu, akiachwa anapokonywa nyumba na gari anahamia Guest au kwa ndugu zake mpaka hapo atakapopata mwanamme mwingine asiye na akili timamu amtunze na kumuweka mjini
10. Aunty Ezekiel - Kikongwe huyu naye hana nyumba, yupo anachezea masharobaro tu hapa mjini, yeye anaona fahari kuvuliwa vichupi na vitoto vidogo
11. Steve Nyerere - Pashikuna hili la kiume lipo lipo tu, halina akili za kiume hata kidogo. Yeye marafiki zake wakubwa ni mademu haswa wake za watu wanaojiuza, anawatafutia tenda kwa viongozi huku yeye akıla 10%, halina nyumba wala nini, yeye kazi yake kudanga tu na kutafuta umbea saloon, mitaani na misibani huku akirekodi watu bila wao kujijua - Mama Wema Sepetu analijuwa hili kipindi anajiuza kwa Steve Nyerere..
Hebu jazia nyama kwenye namba 4 mkuu Prof Shaba kumbe alikuwa mtata hivyo?😀😀Inachekesha ila wanakwambia kupanga ni kuchagua
Seif Sharifu hakuwa na nyumba Sharifu Shamba. Ilikuwa ya kupanga.Maalim ana nyumba ilala sharif shamba , mikocheni ,pemba na unguja pia
Steve ana nyumba zaidi ya moja huko Goba na sasa hivi yuko Tegeta.Wema mbona nasikia ana nyumba Mbagala huko na Steve ana nyumba Mbezi beach au Goba kama sijakosea!
Ana nyumba zaidi ya moja.Mpoki nae alikuwa anasema hajajenga..sijui comedy tu
Wanaopanga hawawezi kuisha. Mtu anaanza maisha anapanga baadae anajenga anahama. Mzunguko unaendele.kujenga ni kibali si swala rahisi kama watu wanavyofikiria.
Lakini vyovyote vile tunahitaji kushukuru MUNGU kwa maisha tunayoishi,
kama wote wangejenga nani angepanga?
mzunguko wa fedha ungeathilika kwa kiasi gani kwakuwa kupitia kodi za nyumba watu wanamudu maisha ya kila siku hata kama anakaa kwao halipi kodi lakini ipo namna matumizi ya hiyo kodi inawanufaisha wengine.
Nyumba ya mikumi ya kupewa.Ni kweli,tuliona nyumba yake kule pemba kupitia luninga siku ya mazishi yake ilikuwa nyumba ya kawaida sana,japo hakuba uhusiano kati ya kujenga na ufisadi,Nyerere hakuwa fisadi ila kabla ya uhuru alikuwa na nyumba nzuri sana magomeni mikumi
Unataka ujengewe, jiulize una thamani gani kwa huyo mwanaume au unachangia nini katika maendeleo yake?Wanaume mtujengee aisee...hatutaki kupangana vyoo vya foleni...
Hawajafa Iła hawana matarajio ya kujenga hata kidogo, wanaona kujenga shida eti, hawataki kuzozana na mafundiSasa hao wamekufa?
Umesikia ila ukweli ni kwamba HANA, yeye anapangishiwa tu na wanaume wakimchoka wanamtimua na kumnyang'anya kila kituWema mbona nasikia ana nyumba Mbagala huko na Steve ana nyumba Mbezi beach au Goba kama sijakosea!
Tulia hapo hapo...ngoja nijiulize nitakujibuUnataka ujengewe, jiulize una thamani gani kwa huyo mwanaume au unachangia nini katika maendeleo yake?
Kale ka kupanga? Kumbe nyumba za kupanga ni za wapangaji pia?Steve Nyerere anayo nyumba mzee usimchukulie poa
Andiko la kipumbavu japo linavutia1. Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la erikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3.Brigedia Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
Aliwahi kuwa brigedia jeshini,Naibu Waziri ulinzi,Mkuu wa wilaya Bagamoyo,mkuu w mkoa Singida,mhamasishaji wa CCM,Katibu mwenezi CCM,naibu katibu mkuu CCM Nk
4. Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au, anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo. Alipostaafu aliigomea Serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM.
Akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua Sokoine if at all they try to vacate him, wakampotezea.
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofali ngapi
7.TiD Top in Dar,mwanamuziki maarufu sliyegima kuhana jwao kinondoni,alishasema kazaliwa pale so pale ni kwake na ni kwao pia,kila mtu arudi kwao,ikaonekana wazazi wake ndio wanastahi kuondka pale sio yeye,japo hajachangia hata bati moja
Itaendelea
Maalim ana nyumba ilala sharif shamba , mikocheni ,pemba na unguja pia